Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Level zetu labda ni Burundi msubiji Waganda wako mbali sana kwenye elimu na soko la kimataifa ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wangozi nyeusi, 5 wastakua kutoka West Africa Nigerian 3 Kenya 2 Uganda mtanzania huenda usimuone kabisa.Umesema kweli ila ni makosa makubwa kujilinganisha na wakenye , level zetu sisi ni Uganda.
View attachment 3384079
licha ya kutojua kiingereZa Pia Akili zetu watanzania ni ndogo sana tuna average IQ, mbongo na Mkongo man elewa zao haziachani sanaa, wale wanawaza muziki sisi tunawaza mpira na bongo freva.Yaani ukitaka umtoe mtzania nje ya reli basi mwambie aende mbele aongee ung'eng'e
Lugha inachangia kidogo sana, akili ndo ya kwanza kutukosesha kwenye ushindani wa ajira.Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
Kweli akili ndogo, eti wakongo wana waza muziki, sisi tunawaza bongo freva (flavor).licha ya kutojua kiingereZa Pia Akili zetu watanzania ni ndogo sana tuna average IQ, mbongo na Mkongo man elewa zao haziachani sanaa, wale wanawaza muziki sisi tunawaza mpira na bongo freva.
Kazi gani unaongelea hapa?Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika makubwa ya kimataifa
Huu ndio ukweli
Na Burundi tunaivana kweli😁Level zetu labda ni Burundi msubiji Waganda wako mbali sana kwenye elimu na soko la kimataifa ukienda mji mkuu wa uingereza ukikutana na watu 10 wangozi nyeusi, 5 wastakua kutoka West Africa Nigerian 3 Kenya 2 Uganda mtanzania huenda usimuone kabisa.
Muziki wa kibongo,...... ndo maana nasema tunafanana na wa Congo man, ni Tanzania peke msomi wa level ya profesor wa chuo kikuu kulipwa na kua chawa wa kiongozi mkuu wa nchi.Kweli akili ndogo, eti wakongo wana waza muziki, sisi tunawaza bongo freva (flavor).
Kwahiyo hiyo bongo "freva" siyo muziki?
Pitia kwenye majukwaa ya kimataifa huko uone wabongo wanavyojificha kwenye mijadala inayohitaji akili kubwa.Uzi wa watu wapumbavu
Wabongo wengi,Pitia kwenye majukwaa ya kimataifa huko uone wabongo wanavyojificha kwenye mijadala inayohitaji akili kubwa.