Mkono ulifata mpira ambalo ni kosa mana aliunyanyua kidogo mkono na kuashiria kuwa ule mpira ulikuwa unamshinda..kosa la mwamuzi yeye hakuenda na move ya mpira kwani alikuwa nyuma kabisa lakini ranzimeni wake wa kulia alienda na muvi ya mpira na aliona ila nae hakunyosha kibendera na ndomana hata goli kipa na beki za Simba walianza mnyoshea mkono Ranzimeni kuwa vipi hujaona wakati upo karibu wakati huo refarii anakuja kwa nyuma na kuamuru hilo ni goli ila kwa sisi tuliokuwa uwanjani body language ya Tambwe ilionyesha nae hakuwa na uhakika na lile goli sababu alijua alichokifanya mpaka alipoona refarii kaamuru mpira uwekwa kati