Kutokujua Sheria za Soka Chanzo cha Malalamiko ya Goli la Yanga!

Ni sheria gani ya soka iliyovunjwa pale?
Mkono ulifata mpira ambalo ni kosa mana aliunyanyua kidogo mkono na kuashiria kuwa ule mpira ulikuwa unamshinda..kosa la mwamuzi yeye hakuenda na move ya mpira kwani alikuwa nyuma kabisa lakini ranzimeni wake wa kulia alienda na muvi ya mpira na aliona ila nae hakunyosha kibendera na ndomana hata goli kipa na beki za Simba walianza mnyoshea mkono Ranzimeni kuwa vipi hujaona wakati upo karibu wakati huo refarii anakuja kwa nyuma na kuamuru hilo ni goli ila kwa sisi tuliokuwa uwanjani body language ya Tambwe ilionyesha nae hakuwa na uhakika na lile goli sababu alijua alichokifanya mpaka alipoona refarii kaamuru mpira uwekwa kati
 
Kacheki goli la leo alilofunga koscielny dhidi ya Burnley ndio utajua upeo wako wa uelewa ulipoishia.
1475439827880.png
WEWE NDIO BORA UNGEKAA KIMYA TU..
 
Goli walilofungwa burney na arsenal leo ingekuwa ni bongo hapa uwanja usingekalika aisee....hata km mwamuzi kakosea lakin ile reaction ya nahodha wa simba kwa refa na reaction ya washabiki wao ni mambo ya kilimbuien kabisa katika soka na km issue ya jana ingetokea kwe ligi ya mabingwa hivi au ligi za wenzetu ulaya basi tungeshuhudia adhabu kubwa sana ila hapa kwetu ndo hvyo tena
 
Ww si ni Yanga ndo maana, chanzo refaree wapili mashabiki, refa aanze kulipa viti
 
Hahahaa sawa mkuu.lakin hamna excuse ya kuharibu uwanja kisa refa kaganya kosa,hayo ni mambo ya watoto wa primary
 
Kila kitu kipo wazi kabisa.
Tambwe aliushika ule mpira kwa makusudi, kifupi aliupokea mpira kwa mkono na kuuterezesha mbele yake na kufunga. It is Clear Hand to ball.

Refaree alipaswa kupiga filimbi ya Faulo na kumuadhibu Tambwe pale pale kwa kadi ya njano.
 
Tuwe wa kweli tu.
Mwamuzi aliwabeba Yanga, iwe alifanya vile kwa makusudi, au bahati mbaya au udhaifu wa kinadamu nk. Huu ni ukweli wa dhahiri kabisa.
 
angalieni goli la arsenal dhidi ya Burnley game ya jumapili ndo mtajua kua kulalamika ni kubwabwaja tuu
 
Mkono ulifata mpira ambalo ni kosa mana aliunyanyua kidogo mkono na kuashiria kuwa ule mpira ulikuwa unamshinda..kosa la mwamuzi yeye hakuenda na move ya mpira kwani alikuwa nyuma kabisa lakini ranzimeni wake wa kulia alienda na muvi ya mpira na aliona ila nae hakunyosha kibendera na ndomana hata goli kipa na beki za Simba walianza mnyoshea mkono Ranzimeni kuwa vipi hujaona wakati upo karibu wakati huo refarii anakuja kwa nyuma na kuamuru hilo ni goli ila kwa sisi tuliokuwa uwanjani body language ya Tambwe ilionyesha nae hakuwa na uhakika na lile goli sababu alijua alichokifanya mpaka alipoona refarii kaamuru mpira uwekwa kati

Ndio maana watu wengine mnafeli maswali rahisi kweli...
 
Tuwe wa kweli tu.
Mwamuzi aliwabeba Yanga, iwe alifanya vile kwa makusudi, au bahati mbaya au udhaifu wa kinadamu nk. Huu ni ukweli wa dhahiri kabisa.

Ukweli hauwi ukweli kwa sababu unaita ni ukweli; ukweli ni ukweli kama unaweza kuthibitisha kuwa ni kweli...
 
Mzee huyu huyu kila anatuambia Juma Pombe anafuata utawala wa demokrasia na sheria (pamoja na kufuta mikutano ya siasa nk),eti leo anataka tumuamini.wewe ni design ya mtu anayeweza kuita pengo ni mwanya kutokana na mahabati.
 
Back
Top Bottom