Tatizo lako unadhani kingereza ni kirahisi hivyo
Kuna matamshi,ya wazungu yaani Pronounce,unaweza piga story vizuri na mtu anaongea kingereza cha United kingdom,lakini ukashindwa kuongea na mrusi au mwarabu .
Shida mkikutana wote hamjui.
Kuhusu Mimi kuwa Engineer siyo kamba,Mimi ni mechanical engineer tena class A ,nafanya Kwa kutuma watu.
Nikupe mwongozo huu,
Julius Nyerere hydro power station nimefanya mwanzo mwisho na naingia muda wowote.
Standard Gauge Railway nimepiga mzigo.
Bomba la Gesi yaani kutoka Mtwara nimepiga kazi ,na station zote naingia.
Hakuna uhusiano Kati ya kujua kiingereza na kazi zangu ,naaminika na taifa liliniamini hadi nilipo amua kustaafu mwenyewe 2022.
Pole sana mkuu