Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,633
- 5,615
Achana na hiyo lugha ya Iblisi! Kula maisha! 😀
Ubaya wa humu tunabdili tu id lakin content tunazikumbuka..id yangu kipindi hicho haikua hii😅Unafukua makaburi ya Engineer wetu wa Bongo...
Ila JF aisee...
Wengi hawaelewi hapa....ili niuma sana hiyo lugha ilinifanya nikose kuwa mmoja wa washiriki kwa namna moja ama nyingine ya filamu fulani ya wanafunzi wa kiamerika waliokuwa wakifanya "field'' iliyopigiwa picha baadhi ya maeneo ya hapa TZ... nilipewa dili na mwanangu mmoja iv....babu white pipo hawataki longolongo, Emails mbili tatu tu Shwaaaaaaah🙆
Tatizo LUGHA
Acha kabisa, nilikutana na warusi hao hawajui kingereza hata kidogo na pochi zao zimenona si unajua baadhi ya madon ya kirusi yalivyo na tena Yana dharau kishenzi, siku nzima tulikuwa tunahangaishana lugha, hakuna cha mkalimani Wala Nini, ukiita mkalimani basi jua umeliwa. Tulikomaa Hadi kikaeleweka. Walinifundisha kitu kuwa pesa Inahitaji akili, uvumilivu kuipata halafu cha mwisho PESA HAITAKI KELELE.