Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku

Kawaidabana na itakua wewe ni mgeni wa biashara
 
Anzia hapo hapo ulipokosea ..ni mwiko kukata tamaa

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hapo ulikosea kufunga biashara. Ungewatafuta wafanyabiashara wenzako wa hardware wangekupa ushauri. Unadhani kufunga ndo ulibadili kitu chochote? Unapata harasa kwenye biashara itumie kama somo na sio kubaki ku blame tu maana hakuna chochote chanya wakati una lalamika..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi ukisikia ni siri, ujue ni mambo ya kishirikina. Labda unikosoe mkuu.

Ushirikina hauna siri mkuu, ni vile tu mbinu za kuufanya haziwekwi wazi sana!
So mimi siri za ushirikina pengine huo unaofahamika wa kutoa makafara na mazindiko!
 
Nipo kwenye hii biashara, usemayo ni kweli na mimi yalinikuta hivyo hivyo, na baadhi ya siku yanajirudia,
Ila sikukata tamaa, kikubwa tuu mwisho wa mwezi sikosi faida baada ya malipo yote.
Ila Kiukweli kuna kipindi nilitaka nifunge.
 
Unafanya biashara gani. Kama ni duka unauza bidhaa gani? Mwisho wa siku, biashara ni value ya kitu unauza. Hao wanaoulizia sio kwamba hawahitaji hicho wanachokiulizia, ila wanaishia kukinunua sehemu nyingine. Tafuta namna ya kuongeza thamani ya vitu. Mara nyingi ni bei. Sasa tafuta namna kushusha bei na bado upate faida hata kama kidogo. Wakishazoea kwako wengi, hata ukipandisha ni sawa tu.
 
Uliindeleza au ulisimamisha? Motivational speakers waongo sana. Wasiposema utamu watu hawatanunua vitabu vyao. Inabidi wafanye hivyo sababu watu tunapenda utamu zaidi ya reality.
 
Ww inaonekana hujawah kufanya biashara km ungefnya biashara wala usingeandika hayo, biashara bongo ni ndago Sana ndo unaenda
Mbona kaandika ukweli...

Juzi tu niliingia dukani kila muhudumu yupo busy na simu wamewasha na radio,

Ukiuliza hichi anasema eeeh unasema nikaona upumbavu nikashuka zangu underground nikawaachia hela yote ya udalali,

Wakaka wa Underground hawachagui mteja yaani yule Boss namuonea wivu kwa kweli

Ila yule mwingine atafunga biashara soon
 
Mkuu msitakabali wa biashara kuanzishwa na kufa sio jambo la tanzania tu, kwani hata huko unakosema kuwa wao ufanya tafti na wao mambo uwaendea kombo.
 
Uliindeleza au ulisimamisha? Motivational speakers waongo sana. Wasiposema utamu watu hawatanunua vitabu vyao. Inabidi wafanye hivyo sababu watu tunapenda utamu zaidi ya reality.
Sikusimama niliendelea...ila ndo nilijua kuwa biashara siyo rahisi,uvumilivu unahitajika sana.
 
Inategemea na aina ya biashara

Anaeuza Trekta au Magari unadhan kila siku wanauza?

Mie kupitia ki pharmacy changu uchwara, najiandaa kuuza sana Pain killers once January ikianza
Hivi kweli mkuu kwa akili yako unazani wafanya biashara wakubwa wa matrekta wanaweza kuanzisha uzi kama huu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nipo kwenye hii biashara, usemayo ni kweli na mimi yalinikuta hivyo hivyo, na baadhi ya siku yanajirudia,
Ila sikukata tamaa, kikubwa tuu mwisho wa mwezi sikosi faida baada ya malipo yote.
Ila Kiukweli kuna nilitakaga nifunge.
Pia mimi sikufunga....ila mwanzo ni mgumu sana as unakua huelewi...unadhani kila siku unauza tu...kuna siku huuzi hata boxer..cha msingi uvumilivu.
 
Someni hapo

According to the U.S. Bureau of Labor Statistics (BLS), this isn't necessarily true. Data from the BLS shows that approximately 20% of new businessesfail during the first two years of being open, 45% during the first five years, and 65% during the first10 years. Only 25% of new businesses make it to 15years or more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…