Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anzia hapo hapo ulipokosea ..ni mwiko kukata tamaaInategemeana na aina ya biashara, ila kuna biashara kukosa kabisa mteja ni jambo lisilowezekana..
Ila mwisho wa siku biashara ni stress sana, mimi toka biashara yangu ya hardware ilivyokufa sina hamu kabisa na hizi "physical business"....kifupi siwezi wekeza hela yangu mtaani.
Anzia hapo hapo ulipokosea ..ni mwiko kukata tamaa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hapo ulikosea kufunga biashara. Ungewatafuta wafanyabiashara wenzako wa hardware wangekupa ushauri. Unadhani kufunga ndo ulibadili kitu chochote? Unapata harasa kwenye biashara itumie kama somo na sio kubaki ku blame tu maana hakuna chochote chanya wakati una lalamika..Kifupi naweza sema ni uchumi tu wa watu uliyumba na ujenzi ulipungua, maana wakati naanza nilikuwa na wateja wa kutosha tu na nikawa nafuata mzigo DSM karibia kila mwezi hiyo ilikuwa 2014/15, ila kuanzia 2016 ndipo shida ilipoanza wateja waliisha kabisa, ilifika muda nikawa nauza elf 15 kwa siku.
Alafu ni kipindi ambacho nilikuwa nimechukua mkopo wa 10m ili nipanue biashara. Ebu fikiria hizo stress zake yani dukani una mzigo wa zaidi ya 15m, alaf unapata mauzo ya siku elf 20..
Hali ilikuwa mbaya zaidi, ikabidi mzigo wote niuze kwa bei ya hasara.
Hii ndo mistari ya kina Songa na Nikk mbishi mkuu??Hali mbaya masela sijui mnanielewa?
Sikuhizi hata ukinywa soda tu unalewa
Mara nyingi ukisikia ni siri, ujue ni mambo ya kishirikina. Labda unikosoe mkuu.
Hahahaha mkuu umeshaona furusa tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea na aina ya biashara
Anaeuza Trekta au Magari unadhan kila siku wanauza?
Mie kupitia ki pharmacy changu uchwara, najiandaa kuuza sana Pain killers once January ikianza
Nipo kwenye hii biashara, usemayo ni kweli na mimi yalinikuta hivyo hivyo, na baadhi ya siku yanajirudia,Nilianza biashara ya nguo miaka kadhaa nyuma,na nikawa nasimama mwenyewe golini as hiyo ndo ilikua ishu yangu ya kunitoa.
Siku ya kwanza nikauza nguo moja,nikaanza kutetemeka sababu nilidhani nikiweka tu pamba watu watakuja.
Siku ya pili sijauza kitu kuanzia asubuhi mpaka saa nne usiku,roho iliniuma sana sikulala usiku,huku nikiwaza ni bora niajiriwe maana biashara si rahisi.
Siku ya tatu,mpaka saa mbili jioni sijauza kitu,nikaanza kuwaza uchawi na uthubutu wa kwenda kwa babu,ghafla akatokea mshikaji mmoja hivi na demu wake,wakafanya shopping ya laki mbili na nusu nilitamani nifunge muda huo,nakuanzia hapo ndo nikajua biashara siyo poa poa kama wanavyosema insipirational speakers.
Unafanya biashara gani. Kama ni duka unauza bidhaa gani? Mwisho wa siku, biashara ni value ya kitu unauza. Hao wanaoulizia sio kwamba hawahitaji hicho wanachokiulizia, ila wanaishia kukinunua sehemu nyingine. Tafuta namna ya kuongeza thamani ya vitu. Mara nyingi ni bei. Sasa tafuta namna kushusha bei na bado upate faida hata kama kidogo. Wakishazoea kwako wengi, hata ukipandisha ni sawa tu.Wakuu habari,
Hivi hii hali ya baadhi ya siku unakuta kuanzia asubuhi hadi jioni hupati wateja kwenye biashara yako badala yake wanakuja wanaoulizia ulizia tu na kuondoka
😀
Hivi hii hali huwa inawakuta na ninyi?
Vipi mnakabiliana vipi na stress za hiyo siku?
Uliindeleza au ulisimamisha? Motivational speakers waongo sana. Wasiposema utamu watu hawatanunua vitabu vyao. Inabidi wafanye hivyo sababu watu tunapenda utamu zaidi ya reality.Nilianza biashara ya nguo miaka kadhaa nyuma,na nikawa nasimama mwenyewe golini as hiyo ndo ilikua ishu yangu ya kunitoa.
Siku ya kwanza nikauza nguo moja,nikaanza kutetemeka sababu nilidhani nikiweka tu pamba watu watakuja.
Siku ya pili sijauza kitu kuanzia asubuhi mpaka saa nne usiku,roho iliniuma sana sikulala usiku,huku nikiwaza ni bora niajiriwe maana biashara si rahisi.
Siku ya tatu,mpaka saa mbili jioni sijauza kitu,nikaanza kuwaza uchawi na uthubutu wa kwenda kwa babu,ghafla akatokea mshikaji mmoja hivi na demu wake,wakafanya shopping ya laki mbili na nusu nilitamani nifunge muda huo,nakuanzia hapo ndo nikajua biashara siyo poa poa kama wanavyosema insipirational speakers.
Unauza nini mkuu?Kawaida sana hiyo Mkuu. Mi katika week ya siku 6 ninazofungua, kuna sometimes mara 3 mauzo ni sifuri kabisa.
Mbona kaandika ukweli...Ww inaonekana hujawah kufanya biashara km ungefnya biashara wala usingeandika hayo, biashara bongo ni ndago Sana ndo unaenda
Mkuu msitakabali wa biashara kuanzishwa na kufa sio jambo la tanzania tu, kwani hata huko unakosema kuwa wao ufanya tafti na wao mambo uwaendea kombo.Sijui akina Bilgates waliroga wakati wakuanzisha biashara ya Microsoft, au Benzos alimuona babu wakati anaanzisha Amazon.... Uwa najiuliza sana hili swali!
Ila kila sehemu ina njia zake, Tanzania tunaamini kwa babu wenzetu wanaamini katika tafiti na data. Watu kabla ya kuanzisha biashara wanatumia mamilion ya fedha kufanya utafiti na hata baada ya kuanzisha biashra. Utasikia mwaka huu Microsoft katumia dollar billion 5 kwenye utafiti, Amazon katumia dollar bilion 6 kwenye utafiti. Sisi tumetumia uzoefu kwenye utafiti hata kama mtu una biashara ya mabilion ya Tshs.
Sikusimama niliendelea...ila ndo nilijua kuwa biashara siyo rahisi,uvumilivu unahitajika sana.Uliindeleza au ulisimamisha? Motivational speakers waongo sana. Wasiposema utamu watu hawatanunua vitabu vyao. Inabidi wafanye hivyo sababu watu tunapenda utamu zaidi ya reality.
Hivi kweli mkuu kwa akili yako unazani wafanya biashara wakubwa wa matrekta wanaweza kuanzisha uzi kama huu?Inategemea na aina ya biashara
Anaeuza Trekta au Magari unadhan kila siku wanauza?
Mie kupitia ki pharmacy changu uchwara, najiandaa kuuza sana Pain killers once January ikianza
Pia mimi sikufunga....ila mwanzo ni mgumu sana as unakua huelewi...unadhani kila siku unauza tu...kuna siku huuzi hata boxer..cha msingi uvumilivu.Nipo kwenye hii biashara, usemayo ni kweli na mimi yalinikuta hivyo hivyo, na baadhi ya siku yanajirudia,
Ila sikukata tamaa, kikubwa tuu mwisho wa mwezi sikosi faida baada ya malipo yote.
Ila Kiukweli kuna nilitakaga nifunge.