Kutokuwa na hela ndio inafanya mwanaume atembee na pisi mbovu!

Pisi unazosemea wewe ni zile zenye shape na sura si ndio?. Kwa taarifa tu wewe bado mshamba hakuna pisi tamu na salama kama unazosipinga. Hizo usifiazo ni sura tu ila zinapigwa na wengi ni mitumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…