Kutokuwa na hela ndio inafanya mwanaume atembee na pisi mbovu!

Unakaa naye tu kupunguza mzigo huku ukijifanya unampenda kumbe tu ni uzushi.

ukipata tu mazingira hivi unamtema na unafta bonge la pisi ule naye tu maisha naye ukimchoka unamtema

masela sisi n uhun tu unaoa huku unachepuka!
Aisee kweli kabisa kukosa pesa tuu ndio maama hatuli pisi kali....mie ndio maana namkubali diamond.. anatumia hela kushenyenta tuu mbususu za warembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…