Kutokuwa na hela ndio inafanya mwanaume atembee na pisi mbovu!

Kuna mtoto kama yule nana doz sio rahisi uoe , yeye tayari akili yake ina vipaumbele ambavyo kwa mwanaume anaejitafuta ni ngumu kuvitimiza , hivyo wengi huishia one night stand nakupotea tu
Basi nilikuwa sijaelewa, kuna siku mtu mmoja alinambia gari kubwa inakunywa mno nikahisi kanitukana!
 
Unakaa naye tu kupunguza mzigo huku ukijifanya unampenda kumbe tu ni uzushi.

ukipata tu mazingira hivi unamtema na unafta bonge la pisi ule naye tu maisha naye ukimchoka unamtema

masela sisi n uhun tu unaoa huku unachepuka!
Gari ni engine sio body,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…