Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Ontario katutoa sana. Haya ya spread ni ya kawaida. Weka spreads zote hapa za hao brokers
 
patience patince angalia trade zote hzo nmehold tangu muda gani
FX is not a quick rich scheme is all about patience
 
huwez ukachez na market markers hivi hivi au wewe naked trading unaelewa nini
Wewe ndio useme ulimaanisha nini!! Je ukitumia naked trading unakua unacheza na market markers?? Usipotumia naked trading unakua huchezi na market markers??
 
Naked truth japokuwa nyuma yake kuna janja janja nyingi
Binafsi sijaona ujanja wowote, kilichopo ni kwamba katika spread kuna kiasi ambacho wanapata kama sehemu yao kwa ajili ya zile calls

Na kama mtu amefikia hatua ya kuwa independent trader wala hawana shida, unajitoa tu
 
Wewe ndio useme ulimaanisha nini!! Je ukitumia naked trading unakua unacheza na market markers?? Usipotumia naked trading unakua huchezi na market markers??
sitoweza kukujibu niliponyokwa kuandika
 
Binafsi sijaona ujanja wowote, kilichopo ni kwamba katika spread kuna kiasi ambacho wanapata kama sehemu yao kwa ajili ya zile calls

Na kama mtu amefikia hatua ya kuwa independent trader wala hawana shida, unajitoa tu
sawa mkuu bird of the same feather
 
kwenye fx ukatrade kila siku na kutengeneza kiasi kidogo kuanzia 20$
Nakuhakikishia ndani ya mwezi mmoja hutokuwa kama ulivyokuwa.
Faith Faith
 
Wivu, Ujinga, Roho Mbaya,
Umasikini

Hii thread imejaa komenti zenye hayo niliyoyataja
kwenye huu uzi wa Mdau wapi kaonyesha wivu,ujinga,roho mbaya na umasikini aise ebu tujuze ili tuelewe?
 
kwenye 1mn na 5mn timeframe naona kuna noise sana je unafanyaje kuweza kukabiliana na hilo suala aise.
vaa sound proof material
just joke kuziepuka usitrade wakat masoko makubwa yapo online yote
 
vaa sound proof material
just joke kuziepuka usitrade wakat masoko makubwa yapo online yote
teh teh teh duuuu inabidi kutupia sound proof aise vipi mdau ww unafanya scalping au swing?
 
sitoweza kukujibu niliponyokwa kuandika
Nadhan kabla hujaandika ni vyema ukawa na uhakika!! Naked forex strategy is one of the best strategies na inaweza kuwa the top!! Kwenye naked tunaangalia only price movement...hatutumii indicators kabisa!!

Sasa uliposema ukitumia naked strategy market makers watakufanyia mbaya ilionyesha bado hujui forex!!
 
sababu equity inavyokuwa kubwa ndio profit au loss per pips inavyokuwa kubwa.

Kama nna 1000usd na nikafungua position ya 0.01 moja alafu account ingine nikawa na 250usd alafu nikafungua position ya 0.01 moja!! Je kwenye hizi account mbili nikipata pips 10 nitakua na faida sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…