Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
patience patince angalia trade zote hzo nmehold tangu muda ganiMoney mondays
anything isnt an opportunity untill you get in and there is the place you will learn everything
Advice dont do Demo trading you will lose something crucial in your mind, do live trading even if you will lose your capital you will gain something new.
Because there will be statement like this 'MIGHT HAVE BEEN' we call it "AHAAAA concept"
View attachment 694485
Wewe ndio useme ulimaanisha nini!! Je ukitumia naked trading unakua unacheza na market markers?? Usipotumia naked trading unakua huchezi na market markers??huwez ukachez na market markers hivi hivi au wewe naked trading unaelewa nini
Binafsi sijaona ujanja wowote, kilichopo ni kwamba katika spread kuna kiasi ambacho wanapata kama sehemu yao kwa ajili ya zile callsNaked truth japokuwa nyuma yake kuna janja janja nyingi
sawa mkuu bird of the same featherBinafsi sijaona ujanja wowote, kilichopo ni kwamba katika spread kuna kiasi ambacho wanapata kama sehemu yao kwa ajili ya zile calls
Na kama mtu amefikia hatua ya kuwa independent trader wala hawana shida, unajitoa tu
Mi siyo trader wa TMT kama introducing brokersawa mkuu bird of the same feather
kwenye huu uzi wa Mdau wapi kaonyesha wivu,ujinga,roho mbaya na umasikini aise ebu tujuze ili tuelewe?Wivu, Ujinga, Roho Mbaya,
Umasikini
Hii thread imejaa komenti zenye hayo niliyoyataja
kwenye 1mn na 5mn timeframe naona kuna noise sana je unafanyaje kuweza kukabiliana na hilo suala aise.Thanks Fx
Nimeongelea komenti, sijaongea uzikwenye huu uzi wa Mdau wapi kaonyesha wivu,ujinga,roho mbaya na umasikini aise ebu tujuze ili tuelewe?
okay nimekupata MdauNimeongelea komenti, sijaongea uzi
vaa sound proof materialkwenye 1mn na 5mn timeframe naona kuna noise sana je unafanyaje kuweza kukabiliana na hilo suala aise.
teh teh teh duuuu inabidi kutupia sound proof aise vipi mdau ww unafanya scalping au swing?vaa sound proof material
just joke kuziepuka usitrade wakat masoko makubwa yapo online yote
Nadhan kabla hujaandika ni vyema ukawa na uhakika!! Naked forex strategy is one of the best strategies na inaweza kuwa the top!! Kwenye naked tunaangalia only price movement...hatutumii indicators kabisa!!sitoweza kukujibu niliponyokwa kuandika
sababu equity inavyokuwa kubwa ndio profit au loss per pips inavyokuwa kubwa.
inategemea nimeamkaje Siku iyo but zote nafanyateh teh teh duuuu inabidi kutupia sound proof aise vipi mdau ww unafanya scalping au swing?