Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

CCM vilaza sana , wanadhani dunia itasimama bila Tanzania
Mkuu nlikwambia baada ya matokeo utapata tabu sana!

Kwani kutokuwepo kwao kuna maanisha nini wakati siku ya kuapishwa walikuwepo?

Acha kujifariji kijana! Ni yeye wako kashakimbia nchi
 
CCM hawata liona hilo. Maana ni vipofu, viziwi ila wamejaliwa mdomo wa kuongea na ubongo wa mende. Kuna siku watashtuka lakini itakuwa too late.
As long as wao wanakula kodi zetu akili zao hazioni mbali kuwa vikwazo vitakapoanza hata hizo kodi nazo zitapwaya mara dufu!
 
Huyo amsterdam nae ni mzinguzi tuu,alikuwa anaingilia mambo ya kampeni wakati usio sahihi hadi kujenga taswira mbaya kwa mgombea wa upinzani
 
Huyo amsterdam nae ni mzinguzi tuu,alikuwa anaingilia mambo ya kampeni wakati usio sahihi hadi kujenga taswira mbaya kwa mgombea wa upinzani
Nlisema humu Amstedam atachangia pakubwa sana kuanguka kwa Lisu! Lakini bavicha hawakuelewa
 
Nchi hizo zote zimeshuhudia mambo ya aibu Sana yaliyofanywa kwa makusudi katika uchaguzi huu ! Haukuwa Uchaguzi huu ! Mawakala wa vyama vya Siasa kuzuiliwa nchi nzima katika vituo vya kupigia Kura kuingia kwenye vituo vya kupigia Kura kwa zaidi ya masaa 5 , hapo Kuna Uchaguzi au ni usanii uliopitiliza !!!???
 
Tanzania haimujitaji jiwe wenu. Wajua hata waadui wakiingia Tanzania wananchi wanaweza kuwapa support kwa sababu tu wengi wao hawampendi jiwe
 
Raisi Magufuli anajaribu kupunguza ile hali ya Tanzania kutegemea misaada kutoka nchi za nje, mfano misaada kama kuchimba choo, kujenga hospitali nk.

Sikatai, ninaamini nchi zinategemeana kimalighafi ili kuongeza kasi ya maendeleo.

Sasa badala ya kumuunga mkono raisi kupunguza hali ya kuondoa akili tegemezi, wengine mnapinga na kumpiga vita.

Siku Lisu akiwa raisi wa Tanzania, mtamwagiwa pumba mlee, mkishiba, mtachinjwa na kuwa kitoweo cha wazungu vizazi vyenu vyote.

Kwa akili ya kawaida huwezi kuliona hili.
Mtamkumbuka raisi Magufuli.
 
Tanzania haimujitaji jiwe wenu. Wajua hata waadui wakiingia Tanzania wananchi wanaweza kuwapa support kwa sababu tu wengi wao hawampendi jiwe
😂😂😂😂😂

Ni wakati upi wewe umewahi kuwapenda viongozi wa CCM?

Eti hapendwi na wengi, hao wengi ndio Waliopuuza maandamano ya huyo anayependwa na wengi siyo?
 
Hujitambui wewe na familia yako! Hatuko huru wakati upo Nyuma ya keyboard una type hapa kuiponda serikali! Unaujua Uhuru wewe ni uhuru upi unaozungumzia? Temechoka na hoja zenu hizi mfu kila kukicha! Uchaguzi umeshakwisha sasa tunajenga Nchi!.
Kama uko unajenga nchi humu unafanya nini?
Pathetic
 
Maisha ya kinafiki ndiyo yamekutawala
Kama hawakupewa mwaliko je?
Na ni lazima wawepo ndiyo nchi uendelee?
Watanzania tujifunze kujitegemea
Mtegemea cha nduguye ufa masikini
So una maanisha ile ya sizitaki mbichi hizi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Meko lazima ateme ulimi
 
Nani anajikomba kwa wazungu?? Kwani nyie mnawategemea kina nani?
Tanzania ipo itakuwepo na itaendelea kuwepo. Watu wenye kujikomba kwa wazungu ndio wamejawa na uoga.

Hao kina Lissu na wengine biashara ndio imeshaisha watafute cha kufanya wafanye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…