Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #201
Mbona mbelgiji wenu mnaempenda mlimpuuza aliposema muandamane?
TumepatikanaKweli kabisa umeona ninayoyaona mbeleni nacheka kwa uchungu inauma Sana mtu anaharibu taifa zuri kiss ubinafsi wake dah.
Mpaka mwisho wetu mkuuKwa mentality hizi Africa tutabaki mkianiani tu.......
uChadema ndo vilaza walidhani Tanzania itasimama bila mwenye saccos kuwa waziri mkuu ndani ya saa72?
Taja nchi ya Africa mashabiki na rais gani wa ulaya na marekani aliyetembelea, siyo kuja na maneno ya ufipa yasiyo na kichwa Wala miguu.Mchina ameongea na mzee wakakubaliana ndiyo maana toka 2015 hujawahi kuona Rais kutoka Ulaya au Marekani katembelea Tz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado tu unajifariji?Kinachofanyika sasa, ni Heri mngeruhusu maandamano
Kwani nani kashinda kihalali uchaguzi uliopita??Mkuu nlikwambia baada ya matokeo utapata tabu sana!
Kwani kutokuwepo kwao kuna maanisha nini wakati siku ya kuapishwa walikuwepo?
Acha kujifariji kijana! Ni yeye wako kashakimbia nchi
Mbelgiji ndio kashinda na sasa hivi ni Rais wako yuko Ikulu pale magogoni.Kwani nani kashinda kihalali uchaguzi uliopita??
Unatumia simu gani?? Umetengeneza wewe?Mimi najilisha kwa Jasho langu mwenyewe! Labda Kama wanakulisha wwe na familia yako!!
Pamoja na kuwa umeandika kikejeli. Ila huo ndo ukweli wenyeweMbelgiji ndio kashinda na sasa hivi ni Rais wako yuko Ikulu pale magogoni.
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Trump-Kenya na Waziri Mkuu wa Uingereza alitembelea Kenya mwaka juzi(30 Ago 2018)mpuuzi wewe huelewi hata dunia inaenda wapi?Taja nchi ya Africa mashabiki na rais gani wa ulaya na marekani aliyetembelea, siyo kuja na maneno ya ufipa yasiyo na kichwa Wala miguu.
Dada wahi kwa jobu,kuna nafasi 19 viti maalumuu upate ahueni ya maishaBado mnajifariji tu hata baada ya kipigo na chama lenu kusambaratika?
Na jiandae kuumia kweli!Tanzania ni nchi huru hatubabaishwi na chochote japo sis wananchi wa mkiani tutaumia kweli mungu atusaidie sana
Kama alivyowasaidia kuiba kura na kuvuruga uchaguzi?Tanzania ni nchi huru hatubabaishwi na chochote japo sis wananchi wa mkiani tutaumia kweli mungu atusaidie sana
Kimesambaratikaje?Bado mnajifariji tu hata baada ya kipigo na chama lenu kusambaratika?
Joto analipata kama sisiDada wahi kwa jobu,kuna nafasi 19 viti maalumuu upate ahueni ya maisha
Basi mkuu chadema sasa hivi kipo imara sana na kimeshikamana sanaKimesambaratikaje?