Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Hata wewe kutotumia actual id ni ushahidi tosha kuwa hakuna uhuru
Anaogopa nini kutumia actual ID ikiwemo wewe ,kuna mtu kawazuia ? Kwa hiyo uhuru ni kutumia Real ID? Ni Uhuru upi huo mnaouzungumzia?
 
Hata Zimbabwe imesimama saivi😂
Usiifananishe Zimbabwe na Tanzania. Mugabe alibugi kuchelewa kuwafukuza wazungu hili ndio lilimgharimu na kupata shida kutawala, pia ukame umekuwa ni tatizo kubwa sana kwa Zimbabwe.

Tanzania imebarikiwa na Mungu ina uwezo wa kulisha nchi zote za Sadcc ukiondoa South Africa.
 
Yaelekea elimu na mwamko wako mdogo. Morocco na Misri zinazoipa misaada Tanzania, zo zenyewe zategemea misaada ya nchi zilizoendelea. Leo ukisema Tanzania haihitaji misaada…...nadhani unasikiliza mno hotuba za CCM. Punguza.
 
Muwe mnatumia akili,sio kila mnaloambiwa mnameza tu!Hivi kweli akili yako imeishia hapo kabisa?Kabisa?Kabisaaaa?Daaah
Mkuu,

Do you clearly understand what 'crimes against humanit'y imply?
Read on 'CRIMES AGAINST HUMANITY AND THE LIMITS OF INTERNATIONAL CRIMINAL LAW
MASSIMO RENZO', to discern what is all about, teh responsibility, obligations and power limitations based on international laws

Tena, inabidi muache kutishia watu kwenye mahakama ya ICC mtajuta kuzaliwa.

Your mission is void and futile; and teh tribunal court shall be ashamed to abyss for attempting terrorize the sovereign state.

To be sure of the process that you are touting about read the 'Rome Statute on International Criminal Court' on page 24-61 whcih includes article 53-61 with teh subject 'Investigations and Prosecution' . The trial stipulated in articles 62-76

Kwahiyo mstishe watu hizo kesi zenu zisizo na kichwa wala miguu zitasababisha hata wapambe waombe dunia ipasuke wapotelee ardhini-Period
 

Attachments

Naona machadema mnajiona Kama mnaishi ubelgiji pamoja na msaliti. Endeleeni kuweweseka ila Dua la kuku halimpati mwewe.
 
China yupi? Huyu aliyeshindwa hata kufufua kiwanda cha Urafiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walipambana sana juu ya kukifufua mpaka bashite alienda siku moja kusuruhisha mgogoro kati yao na wafanyakazi lakini mpaka leo nasikia kiwanda chali. Fanyeni mchezo tu lakini yajayo yatawafurahisha
 
Kwa mara ya kwanza tangu Uhuru wetu mwaka 1961 - Tanzania inatunishiana misuli na EU na USA. wacha tuone mwisho wa hili game!!
 
Tuna SGR, ndege kibao na nyingine zinakuja, bwawa la Mwalimu Nyerere, Tanzanite, bomba la mafuta Tanga mpaka Uganda na tuko uchumi wa kati hatuhitaji misaada yao, tuko tayari kuwasaidia wao.
 
CCM vilaza sana , wanadhani dunia itasimama bila Tanzania
Tanzania ipo itakuwepo na itaendelea kuwepo. Watu wenye kujikomba kwa wazungu ndio wamejawa na uoga.

Hao kina Lissu na wengine biashara ndio imeshaisha watafute cha kufanya wafanye.
 
Hayo ndiyo maisha yenu kuishi kwa kuvizia mpigiwe kelele ndiyo mfanikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…