Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchina ameongea na mzee wakakubaliana ndiyo maana toka 2015 hujawahi kuona Rais kutoka Ulaya au Marekani katembelea TzChina inaitegemea Marekani na nchi za Ulaya kibiashara
China inafanya biashara kubwa na hizo nchi kuliko Afrika nzima..
Mkibanwa,Mchina atakuwa upande wa UN..
Usidanganye
SureWameamua kujitenga na waovu.
Kwamba uwepo wao ndiyo inaonyesha support yao? Inawezekana kwa mtazamo huo.....ila kuhudhuria kuapishwa pamoja na zile kelele zote,pale ndiyo nilianza kupata doubtSio Afrika tu, hata Ulaya na Marekani siku muhimu Kama hii mabalozi wote lazima wawepo.
Kwa iyo crime against humanity dhidi ya magufuli na watu wake wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa waliyofanya Zanzibar, Songwe, Mara na Singida ni mambo ya kutunga????Mkuu,
Wewe ndio ulitakiwa kueleza ni kwanini hawakuhudhuria ufunguzi wa bunge la 12 sio kuanza kuuliza kinafiki watu wengine.
Vitisho vya kushitaki mahakama ya ICC acha afanye wajibu wake ila aibu itakayompata hata kuzimu watakataa kumpokea huyo mfanyabiashara ya utetezi wa kutunga.
Iwapo wewe unaishi katika ardhi ya Tanzania kwa sasa, kwa mada yako hii basi umeshapoteza sifa ya UTanzania hata wa kununua!!!
Muwe mnatumia akili,sio kila mnaloambiwa mnameza tu!Hivi kweli akili yako imeishia hapo kabisa?Kabisa?Kabisaaaa? Daaah.Umemsikia gwajiboy lkn leo? Vision ya Presidaa ni moto wa kuotea mbali,mabeberu lazima wachanganyikiwe.
Kimeniuma sana. Kujiweka karibu na mchina kumefanya hadi Korea ya kusini na Japan wameanza kujitenga na sisi. Kweli awamu ya tano lazima tuwe mafukaraChina inaitegemea Marekani na nchi za Ulaya kibiashara
China inafanya biashara kubwa na hizo nchi kuliko Afrika nzima..
Mkibanwa,Mchina atakuwa upande wa UN..
Usidanganye
Tungoje tuone..Mchina ameongea na mzee wakakubaliana ndiyo maana toka 2015 hujawahi kuona Rais kutoka Ulaya au Marekani katembelea Tz
Na badoo hizi ni rasha rashaMfuko wa cement 35,000/ sukari kg 3500/.....
Muwe mnatumia akili,sio kila mnaloambiwa mnameza tu!Hivi kweli akili yako imeishia hapo kabisa?Kabisa?Kabisaaaa?Daaah
na badoo hizi ni rasha rasha
Mkuu nimecheka sana ...aiseeh umeona mbaliNaona Nduli Kayafa ameanza kujuhami eti tuzizoee tiba asili. Anajua huko alikotuingiza chaka serikali yake itakuwa haina uweza wa kununua Asprin
Nyie watu mna tabia za ubabe sana, ndio mana wenzetu wanakimbia nchi, acheni ushamba.Mkuu,
Wewe ndio ulitakiwa kueleza ni kwanini hawakuhudhuria ufunguzi wa bunge la 12 sio kuanza kuuliza kinafiki watu wengine.
Vitisho vya kushitaki mahakama ya ICC acha afanye wajibu wake ila aibu itakayompata hata kuzimu watakataa kumpokea huyo mfanyabiashara ya utetezi wa kutunga.
Iwapo wewe unaishi katika ardhi ya Tanzania kwa sasa, kwa mada yako hii basi umeshapoteza sifa ya UTanzania hata wa kununua!!!
Magu aliwatangazia,aliwahakikishia kuwa Uchaguzi utakuwa huru na wa haki..Mlitegemea wahudhurie Bunge la chama kimoja? Hela zao mnachukua kwa ahadi kwamba mtadumisha demokrasia. Wameona kwa macho yao kwamba hakuna demokrasia wala haki. Mwanzoni walishauri Magu arekebishe upuuzi aliofanya ila wameona Magu amewapuuza.
Wa
Wacha waamue, walishawahi.kuzuia pesa za umeme lakini umeme umeeda mpaka vijijini na karibia vijiji vinaisha sasa unaogopa nini?
Wao si makamanda wanakimbiaje sasa! Mlihamasisha maandamano yakashindikana ,mnakuja humu kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu!Nyie watu mna tabia za ubabe sana, ndio mana wenzetu wanakimbia nchi, acheni ushamba.
Wewe mpumbavu ,sasa ni pesa ya nani inatumika?Kwa ukilaza wako unadhani pesa ya umeme vijijini ni ya kwetu???