Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

China inaitegemea Marekani na nchi za Ulaya kibiashara

China inafanya biashara kubwa na hizo nchi kuliko Afrika nzima..

Mkibanwa,Mchina atakuwa upande wa UN..

Usidanganye
Mchina ameongea na mzee wakakubaliana ndiyo maana toka 2015 hujawahi kuona Rais kutoka Ulaya au Marekani katembelea Tz
 
Sio Afrika tu, hata Ulaya na Marekani siku muhimu Kama hii mabalozi wote lazima wawepo.
Kwamba uwepo wao ndiyo inaonyesha support yao? Inawezekana kwa mtazamo huo.....ila kuhudhuria kuapishwa pamoja na zile kelele zote,pale ndiyo nilianza kupata doubt
 
Mkuu,

Wewe ndio ulitakiwa kueleza ni kwanini hawakuhudhuria ufunguzi wa bunge la 12 sio kuanza kuuliza kinafiki watu wengine.

Vitisho vya kushitaki mahakama ya ICC acha afanye wajibu wake ila aibu itakayompata hata kuzimu watakataa kumpokea huyo mfanyabiashara ya utetezi wa kutunga.

Iwapo wewe unaishi katika ardhi ya Tanzania kwa sasa, kwa mada yako hii basi umeshapoteza sifa ya UTanzania hata wa kununua!!!
Kwa iyo crime against humanity dhidi ya magufuli na watu wake wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa waliyofanya Zanzibar, Songwe, Mara na Singida ni mambo ya kutunga????

Bwashee, mnataka kuninyang’anya hadi uraia wangu??? Mie nimeuliza swali tu, punguza hasira.
 
Umemsikia gwajiboy lkn leo? Vision ya Presidaa ni moto wa kuotea mbali,mabeberu lazima wachanganyikiwe.
Muwe mnatumia akili,sio kila mnaloambiwa mnameza tu!Hivi kweli akili yako imeishia hapo kabisa?Kabisa?Kabisaaaa? Daaah.
 
China inaitegemea Marekani na nchi za Ulaya kibiashara

China inafanya biashara kubwa na hizo nchi kuliko Afrika nzima..

Mkibanwa,Mchina atakuwa upande wa UN..

Usidanganye
Kimeniuma sana. Kujiweka karibu na mchina kumefanya hadi Korea ya kusini na Japan wameanza kujitenga na sisi. Kweli awamu ya tano lazima tuwe mafukara
 
Mlitegemea wahudhurie Bunge la chama kimoja? Hela zao mnachukua kwa ahadi kwamba mtadumisha demokrasia. Wameona kwa macho yao kwamba hakuna demokrasia wala haki. Mwanzoni walishauri Magu arekebishe upuuzi aliofanya ila wameona Magu amewapuuza.
 
Mkuu,

Wewe ndio ulitakiwa kueleza ni kwanini hawakuhudhuria ufunguzi wa bunge la 12 sio kuanza kuuliza kinafiki watu wengine.

Vitisho vya kushitaki mahakama ya ICC acha afanye wajibu wake ila aibu itakayompata hata kuzimu watakataa kumpokea huyo mfanyabiashara ya utetezi wa kutunga.

Iwapo wewe unaishi katika ardhi ya Tanzania kwa sasa, kwa mada yako hii basi umeshapoteza sifa ya UTanzania hata wa kununua!!!
Nyie watu mna tabia za ubabe sana, ndio mana wenzetu wanakimbia nchi, acheni ushamba.
 
Naona mmeanzisha uzi wa kujifariji! Hivi TL wenu si yupo ubelgiji kaunganeni nae huko sisi ni Nchi huru!.Hivi kwa akili zenu mnategemea hao mabeberu wenu watawasaidia? ,kutokuudhuria kwao si kitu kwetu!.Haizui sisi kuendelea na mambo yetu!.
 
Mlitegemea wahudhurie Bunge la chama kimoja? Hela zao mnachukua kwa ahadi kwamba mtadumisha demokrasia. Wameona kwa macho yao kwamba hakuna demokrasia wala haki. Mwanzoni walishauri Magu arekebishe upuuzi aliofanya ila wameona Magu amewapuuza.
Magu aliwatangazia,aliwahakikishia kuwa Uchaguzi utakuwa huru na wa haki..

Kawatia changa la macho,wamemkasitikia
 
Kwa ukilaza wako unadhani pesa ya umeme vijijini ni ya kwetu???
Wa
Wacha waamue, walishawahi.kuzuia pesa za umeme lakini umeme umeeda mpaka vijijini na karibia vijiji vinaisha sasa unaogopa nini?
 
Nyie watu mna tabia za ubabe sana, ndio mana wenzetu wanakimbia nchi, acheni ushamba.
Wao si makamanda wanakimbiaje sasa! Mlihamasisha maandamano yakashindikana ,mnakuja humu kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu!
 
Back
Top Bottom