Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una hasira sana!

Mwambie mbelgiji wako ajipange kwa 2025
Nunua nguo za kutosha. Siku si nyingi utaanza kuvaa nguo zenye viraka
 
Democratic hawanaga masikhara walitakaga hadi kumpiga sanctions Saudi Arabia kwa mauaji ya Jamal Kashoghi pamoja na Saudia kuwa mnunuzi mkuu wa silaha kutoka Marekani. Yaaani Democrat wameingia madarakani kipindi kizuri sana.
Hivi mauaji ya Kashogi yalitokea kipindi cha utawala wa democrat?

Wazungu hawatakusaidia kitu chochote mkuu jipange kwa 2025
 
Kwani kura zilizopigwa zilihesabiwa??? Na matokeo yaliyotangazwa ndo ya kura zilizohesabiwa kihalali??
Nkikuonya kwamba hiki ndio kiswahili utakachorudi nacho baada ya matokeo.

Unaona sasa?
 
Hujui kuwa Democrat Walimshurutisha Trump aiwekee vikwazo Saudi Arabia ila Trump kwa sababu anatoka Republican alikataa kwa sababu Republican huwa wanaangalia maslahi kwanza??
Hivi mauaji ya Kashogi yalitokea kipindi cha utawala wa democrat?

Wazungu hawatakusaidia kitu chochote mkuu jipange kwa 2025
 
Hujui kuwa Democrat walimahurutisha Trump aiwekee vikwazo Saudi Arabia ila Trump kwa sababu anatoka Republican alikataa kwa sababu Republican huwa wanaangalia maslahi kwanza??

ui
Hujui chochote mkuu!

Ulisema mwaka huu ccm itajua haijui, maana mtakinukisha.

Leo umeweka mafumaini kwa wana demcrat?
 
Pole sana mkuu! Hii ni 2020 siyo 1960
Hiyo Polee ungejipa wewe maana democrat hawachekagi na kima. Bora angekuwa Trump Republican mngeweza kumrubuni kwa kumpa helium achimbe
 
Hujui chochote mkuu!

Ulisema mwaka huu ccm itajua haijui, maana mtakinukisha.

Leo umeweka mafumaini kwa wana demcrat?
Kwani mwaka huu umeisha??? Kwa haya yanayoendelea unadhani kuna amani huko ccm??
 
Hiyo Polee ungejipa wewe maana democrat hawachekagi na kima. Bora angekuwa Trump Republican mngeweza kumrubuni kwa kumpa helium achimbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo democrat ya marekani itamtoa magu na kumuweka lisu madarakani?
 
Kwani mwaka huu umeisha??? Kwa haya yanayoendelea unadhani kuna amani huko ccm??
Nilikuonya mkuu kwamba baada oktoba 28 utatia tu adabu.

Naona zile kelele zako za n yeye zimeisha sasa!

Watu wameshaapishwa na mgombea wako kakukimbia wewe bado unaongela mwaka kuisha?

Nilisema Lisu ndio mgombea atakae tia aibu tangu chadema ianze kushiriki uchaguzi!
Umejionea sasa? Kawaachia mbunge 1 kutoka wabunge 60,
Yani leo hii 2020 Lisu anapata 13%? Hata dr slaa wa 2010 kamzidi.
 
Kweli Wazungu watakuwa wameamua mwaka huu!
Hivi, mzungu ndiyo nani. Sawa hawakuonekana wapo wamamtongoza TRUMP achie kiti maana 20 January 2021 nikaribu asije aibisha duniani. So after all kwetu uchaguzi umekwisha tunafikiri namna ya kupata wawekezaji wa HELIUM, our dream to be a DONA KANTRI sasa inakaribia kutimia.
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Kelele za mlango hazitatunyima usingizi...Tupo huru kama wao! Wao wana yao nasi tuna yetu! Na kila nchi itajijengea mustakabali wake wa aina ya maisha wayatakayo bila shinikizo licha ya kiherehere cha vizabizabina na mamluki wasiojiamini na kujiona kuwa hawajakamilika bila ya misaada ama hadi washikwe makalio na wadhungu!
 
Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!

Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
amka wazungu wa nini?
 
Wewe ukimuombea ndio inakuwaje?

Mungu siyo amsterdam
Atalipwa kadili ya matendo yake, vyeti feki mpaka Rais feki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz mnavituko sana
 
Nilikuonya mkuu kwamba baada oktoba 28 utatia tu adabu.

Naona zile kelele zako za n yeye zimeisha sasa!

Watu wameshaapishwa na mgombea wako kakukimbia wewe bado unaongela mwaka kuisha?

Nilisema Lisu ndio mgombea atakae tia aibu tangu chadema ianze kushiriki uchaguzi!
Umejionea sasa? Kawaachia mbunge 1 kutoka wabunge 60,
Yani leo hii 2020 Lisu anapata 13%? Hata dr slaa wa 2010 kamzidi.
Nimetia aibu gani??? Nimekuuliza swali hujajibu, nakuuliza tena, Kwenye uchaguzi huu, kura halali zilizopigwa na watanzania tarehe 28 ndo zilizohesabiwa na matokeo yake kutangazwa??? Naomba unijibu
 
Back
Top Bottom