Wamekabe koo tuKuna kitu nahisi kinakuja, na si cha kawaida kwa kweli. Sie tulioibiwa Uchaguzi nafikiri huu ni muda sahihi kuchukua popcorn na kuangalia huu mchezo unavyozidi kuwa mtamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekabe koo tuKuna kitu nahisi kinakuja, na si cha kawaida kwa kweli. Sie tulioibiwa Uchaguzi nafikiri huu ni muda sahihi kuchukua popcorn na kuangalia huu mchezo unavyozidi kuwa mtamu
Mie nimeacha kwenda kanisani. Sitaki izo habari, nasali ndani ya nyumba yangu tu.Cha ajabu zaidi kuna baadhi ya viongozi wa dini wanasema jiwe ni chaguo la Mungu!
Kiongozi kama huyo mimi akianza kuniswalisha 'swala ya jamaa' nafungua swala naenda swali 'maamuma'
Mkuu karibu Nipo Songea Mjini. Nitumie kwa Super Feo tuMkuu nipe address yako nikutumie za kutosha usisumbue bajeti yako. Ikifika 2025 tupeane tathmini.
Na Mwanza inakuja hiyo Super Feo?Mkuu karibu Nipo Songea Mjini. Nitumie kwa Super Feo tu
Lazima wadate mwaka huu.Nawaonea huruma Kabudi na Mpango.
Mwanza sina uhakika nduguNa Mwanza inakuja hiyo Super Feo?
Wanakulisha wewe na ukoo wako,Mimi siwezi kubabaishwa na hiyo misaada ya waume zako, Sina huo umasikini,hata ikitokea nikaenda kuishi huko kwao bado Nina uhakika wa kuishi maisha standard kuliko wengi wao walioko huko. Kitu pekee kinachonipa mawazo na kunifanya niwe mnyenyekevu hapa duniani ni pumzi, ambayo hakuna namna ya kuipata, tofauti na yule aliyeiumba mbingu na nchi..!Unataka tuwe na mentality gani wakati hawa ndo wanaotulisha na kutusaidia kwa kiwango kikubwa sana?
Yani wewe unaishi kwa kujipendekeza hapo Lumumba ndo uwe na maisha mazuri ulaya/ Marekani kuliko wenyeji wa kule??? Kawadanganye Lumumba wenzakoWanakulisha wewe na ukoo wako,Mimi siwezi kubabaishwa na hiyo misaada ya waume zako, Sina huo umasikini,hata ikitokea nikaenda kuishi huko kwao bado Nina uhakika wa kuishi maisha standard kuliko wengi wao walioko huko. Kitu pekee kinachonipa mawazo na kunifanya niwe mnyenyekevu hapa duniani ni pumzi, ambayo hakuna namna ya kuipata, tofauti na yule aliyeiumba mbingu na nchi..!
Vijana masikini tafuteni hela, siasa za kwenye majukwaa ya Jf haziatawasaidia chochote
Hayo yote yakitokea,mtakaoumia zaidi ni nyinyi masikini.Mataga bana! mkisikia swala la vikwazo vya kiuchumi “Economic Sanctions” na “trade embargoes” mnakumbuka nchi ni yetu sote, sasa mlipokuwa mnadhulumu na kuvuruga uchaguzi hamkujua nchi ni yetu sote? Ngoja kwanza tuoneshane makali, TUTAELEWANA TU!
Ndoano haitemeki hio
Ndo nimekwambia Sasa, popote naishi maisha standard.Yani wewe unaishi kwa kujipendekeza hapo Lumumba ndo uwe na maisha mazuri ulaya/ Marekani kuliko wenyeji wa kule??? Kawadanganye Lumumba wenzako
wewe mbna unamtupia maneno anaejipendeza Lumumba wewe wa Ufipa je?Yani wewe unaishi kwa kujipendekeza hapo Lumumba ndo uwe na maisha mazuri ulaya/ Marekani kuliko wenyeji wa kule??? Kawadanganye Lumumba wenzako
Hapa usikute huna hata balance ya Million moja bank,na uko busy kuanzisha nyuzi hapa jF za kuiombea Tz mabaya.Kumbuka tu kuwa,kikinuka wakwanza kuumia ni nyinyi masikini.Yani wewe unaishi kwa kujipendekeza hapo Lumumba ndo uwe na maisha mazuri ulaya/ Marekani kuliko wenyeji wa kule??? Kawadanganye Lumumba wenzako
Mkuu hata huyu muanzisha uzi Lord denning ninawasiwasi nae, vijana wengi humu ni masikini😀Kuna watu hawana ajira hawana uhakika wa kula ila wanashinda kubishana siasa,kutukana serikali mtandaoni huku wakipiga mizinga kwa wazazi au ndugu
Kuna watu hawana ajira hawana uhakika wa kula ila wanashinda kubishana siasa,kutukana serikali mtandaoni huku wakipiga mizinga kwa wazazi au ndugu
NdiyoNimetia aibu gani??? Nimekuuliza swali hujajibu, nakuuliza tena, Kwenye uchaguzi huu, kura halali zilizopigwa na watanzania tarehe 28 ndo zilizohesabiwa na matokeo yake kutangazwa??? Naomba unijibu
Ndugu mie ni mpambanaji kweli. Pamoja na kuwa mwanasheria na Wakili , ni mwekezaji mzuri wa kilimo huku Ruvuma na kule Katavi. Sitegemei ndugu ila sina shida na vikwazo kwa sababu watanzania tukipigwa vikwazo wajinga walio wengi wataamka na kuacha kuwa misukule ya Ccm.Mkuu hata huyu muanzisha uzi Lord denning ninawasiwasi nae, vijana wengi humu ni masikini😀
Ndiyo nini??Ndiyo