Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Cha ajabu zaidi kuna baadhi ya viongozi wa dini wanasema jiwe ni chaguo la Mungu!

Kiongozi kama huyo mimi akianza kuniswalisha 'swala ya jamaa' nafungua swala naenda swali 'maamuma'
Mie nimeacha kwenda kanisani. Sitaki izo habari, nasali ndani ya nyumba yangu tu.
 
Unataka tuwe na mentality gani wakati hawa ndo wanaotulisha na kutusaidia kwa kiwango kikubwa sana?
Wanakulisha wewe na ukoo wako,Mimi siwezi kubabaishwa na hiyo misaada ya waume zako, Sina huo umasikini,hata ikitokea nikaenda kuishi huko kwao bado Nina uhakika wa kuishi maisha standard kuliko wengi wao walioko huko. Kitu pekee kinachonipa mawazo na kunifanya niwe mnyenyekevu hapa duniani ni pumzi, ambayo hakuna namna ya kuipata, tofauti na yule aliyeiumba mbingu na nchi..!

Vijana masikini tafuteni hela, siasa za kwenye majukwaa ya Jf haziatawasaidia chochote
 
Yani wewe unaishi kwa kujipendekeza hapo Lumumba ndo uwe na maisha mazuri ulaya/ Marekani kuliko wenyeji wa kule??? Kawadanganye Lumumba wenzako
 
Mataga bana! mkisikia swala la vikwazo vya kiuchumi “Economic Sanctions” na “trade embargoes” mnakumbuka nchi ni yetu sote, sasa mlipokuwa mnadhulumu na kuvuruga uchaguzi hamkujua nchi ni yetu sote? Ngoja kwanza tuoneshane makali, TUTAELEWANA TU!
Ndoano haitemeki hio
Hayo yote yakitokea,mtakaoumia zaidi ni nyinyi masikini.
 
Ujinga ni kusema wazungu hawajaja, wangekuja je? ungesema wamekuja ila wamenuna nuna??
 
Yani wewe unaishi kwa kujipendekeza hapo Lumumba ndo uwe na maisha mazuri ulaya/ Marekani kuliko wenyeji wa kule??? Kawadanganye Lumumba wenzako
wewe mbna unamtupia maneno anaejipendeza Lumumba wewe wa Ufipa je?
 
Kuna watu hawana ajira hawana uhakika wa kula ila wanashinda kubishana siasa,kutukana serikali mtandaoni huku wakipiga mizinga kwa wazazi au ndugu
 
Yani wewe unaishi kwa kujipendekeza hapo Lumumba ndo uwe na maisha mazuri ulaya/ Marekani kuliko wenyeji wa kule??? Kawadanganye Lumumba wenzako
Hapa usikute huna hata balance ya Million moja bank,na uko busy kuanzisha nyuzi hapa jF za kuiombea Tz mabaya.Kumbuka tu kuwa,kikinuka wakwanza kuumia ni nyinyi masikini.
 
Leo ulienda shughulini kuangalia hawa mabwana zako uliowataja hapa kama wamehudhuria. Kaxi iko.

Lissu alivyokuwa anatamba kwenye kampeni leo kaikimbia nchi kamuacha shekhe Ponda na yule balamu wake kwenye mataa.
 
Kuna watu hawana ajira hawana uhakika wa kula ila wanashinda kubishana siasa,kutukana serikali mtandaoni huku wakipiga mizinga kwa wazazi au ndugu
Mkuu hata huyu muanzisha uzi Lord denning ninawasiwasi nae, vijana wengi humu ni masikini😀
 
Inawezekana wewe hapo ulipo leo umefika kwa mizinga ila sahau ni dawa. Endelea kujitibia na kujifariji. JPM kwenye kampeni alikuwa muwazi alipiga mzinga kwa Chenge.
 
Nimetia aibu gani??? Nimekuuliza swali hujajibu, nakuuliza tena, Kwenye uchaguzi huu, kura halali zilizopigwa na watanzania tarehe 28 ndo zilizohesabiwa na matokeo yake kutangazwa??? Naomba unijibu
Ndiyo
 
Mkuu hata huyu muanzisha uzi Lord denning ninawasiwasi nae, vijana wengi humu ni masikini😀
Ndugu mie ni mpambanaji kweli. Pamoja na kuwa mwanasheria na Wakili , ni mwekezaji mzuri wa kilimo huku Ruvuma na kule Katavi. Sitegemei ndugu ila sina shida na vikwazo kwa sababu watanzania tukipigwa vikwazo wajinga walio wengi wataamka na kuacha kuwa misukule ya Ccm.
 
Back
Top Bottom