Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Donor Country!!😂😁😅😏😄😄😂

Donor country watoto wanakaa chini shuleni hawana madawati
Hata kalamu na daftari hawana😡😡

Ila siasa ni mwanaharamu kabisa
 
Halafu Mtu Anasimama Kwenye Mimbari Anasema Sisi Ni Tajiri. Nataka Wakina Laizer Wengi Sana
Haa 🤨😑😶😎
 
Napitia Uzi huu naona kuna wajinga wachache wanaweka juhudi kupigania mkate wao wanatumia nguvu kuuaminisha uma kuwa tulikuwa na uchaguzi tena huru na haki
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
SI NDIO MNAOWATUKANA KILA SIKU KUWA NI MABEBERU ....WAKIKOSEKANA KWANI KUNA UBAYA ...
 
Naona Nduli Kayafa ameanza kujihami eti tuzizoee tiba asili. Anajua huko alikotuingiza chaka Serikali yake itakuwa haina uweza wa kununua Asprin
Afu mimi siuziki, na maumivu nabagua watu wa kuwapunguzia.
 
Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!

Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.

IMG_2307.jpg

Hapo sijui alikuwa anawaza nini maskini weee...
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Ukisema Umoja wa Ulaya basi hupaswi tena kuzitaja nchi za Sweden, Norway, Ujerumani, na Finland.
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Aisee....yaani wewe ulidhani hao wangehudhuria?!?! Hizo nchi ndizo imperialists powers ...zote Zina hofu na mafanikio au mwelekeo wa TZ kisiasa, kiuchumi na kijamii...zote zinaiona TZ kuwa ni nchi hatari kwa maslahi yao kiuchumi na kisiasa ...Zina hofu na Tanzania kuwa msimamo wa kiongozi wake mkuu yaani JPM unaweza kuziambukiza nchi nyingine za afrika...kumbuka bara la Afrika ndilo bara tajiri kwa raslimali...nchi za ulaya zimetajirika kwa sababu ya Afrika...kwa hiyo Kama Afrika itajitegemea ni Jambo la hatari mno kwa status quo ya dunia...kwa hiyo Magufuli anaogopwa mno na watafanya Kila wawezalo kuiangamiza Tanzania..
 
Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!

Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
😂😂😂😂 umadhani ni lissu huyo wakujipendekeza kwa weupe kina Robert??😂😂
 
Majibu mtayapata siku si nyingi
Unafikiri bila Amsterdam Lissu angeruhusiwa hata kuingia nchini na kugombea uraisi?
Mkuu uliahidi mengi sana na yote hajatokea.
Labda wazungu wakamrudishie kwanza Trump Urais wake ndio nitawaelewa.
 
Hai mabeberu wanakulisha na kukusaidia Nini kwa kiasi kikubwa Sana ambacho huwezi kujitafutia? Halafu naona umeandika wanawalisha ina maana wewe na familia yenu au chadema ndo maana Lissu kaona ahamie hukohuko au wewe na Nani?
hata wewe unaishi kwa hisani ya watu flani
 
Majibu mtayapata siku si nyingi

Mkuu uliahidi mengi sana na yote hajatokea.
Labda wazungu wakamrudishie kwanza Trump Urais wake ndio nitawaelewa.
Utanielewa hoja zangu siku si nyingi. Usitie shaka
 
Back
Top Bottom