Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!

Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
"Kutongoza"?
Nani anajua kutongoza. Jiwe mwenyewe angejua kutongoza asingevuruga uchaguzi. Hajui kabisa kutongoza. Yeye ni kuvamia tu!

Na huyo aliyeteuliwa uwaziri wa 'kutongoza', sura yake pekee, hasa ile mijicho na mdomo unaotoa mate, pamoja na kujua kujinyenyekesha akiwa mbele ya hao wakubwa, hana ushawishi wa kuweza kumtongoza yeyote.
 
Mimi naweza kukuoa na kulisha ukoo wako wote
Wewe ni dada tunakujua,uko na mbele plus nyuma,wahi kwa jobu kuna nafasi yako moja.
Labda uje nikulishe wewe mumeo,watoto na ukoo wako na mumeo.punguani wahed
 
Kuna kitu nahisi kinakuja, na si cha kawaida kwa kweli. Sie tulioibiwa Uchaguzi nafikiri huu ni muda sahihi kuchukua popcorn na kuangalia huu mchezo unavyozidi kuwa mtamu
Nakumbuka ulisema Lisu lazime awe raisi, vipi amekuwa raisi?

Nakumba ulisema maandamano lazima yatokee, vipi yametokea?

Sasa hivi unasema kunakitu unahisi kinakuja, ndugu yangu utahisi sana na pole sana kwa kuhisi.

Nakushauri ukimaliza Popcorn, agizia mahindi ya kukoboa kula yakiisha agizia na pumba za mahindi kula shushia na maji ya bariiiiiiiidi.
 
CCM hawata liona hilo. Maana ni vipofu, viziwi ila wamejaliwa mdomo wa kuongea na ubongo wa mende. Kuna siku watashtuka lakini itakuwa too late.
Ujambazi unapitia hatua zifuatazo:

1. Udokozi nyumbani kwenu: mtu anaanzia nyumbani kwao kusogeza vitu, nyumbani wakishastuka na kuficha vitu vyao mdokozi anahamia nyumba jirani.

2. Udokozi mtaa wa pili
3. Udokozi mtaa wa mbali: watu wakishashtuka, mdokozi anageuka kuwa
4. Mwizi nyumbani kwao, kisha wizi nyumba ya pili
5. Mwizi mitaani. Watu akishaushtukia wizi na kuwa waangalifu kwa kuweka milango, makomeo, ukuta na magirili ya vyuma kwenye nyumba zao mwizi atageuka kuwa
6. Jambazi: Jambazi haibi bali anachukua kwa nguvu hata kama unaona mchana kweupe au umelala gizani. Baada ya hatua hii inafuata hatua ya
7. Kifo kwa ujambazi

Wizi wa kura nyakati za uchaguzi upepitia hatua zote hizi 6 kazoro ya 7 tu. Demokrasia ya Tanzania imepitia hatua zote 6 imebakiza ile ya 7 tu ya (kupigana wenyewe, au kupelekana the Hugue, au kuwekewa vikwazo au au mwafaka wa kitaifa)
 
Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.

Amani iwe nanyi wadau!

Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.

Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.

Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.

Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?

Naomba michango yenu!
Chadema mnaumiza vichwa kila dakika ilimradi tu mjifaliji
 
Nakumbuka ulisema Lisu lazime awe raisi, vipi amekuwa raisi?

Nakumba ulisema maandamano lazima yatokee, vipi yametokea?

Sasa hivi unasema kunakitu unahisi kinakuja, ndugu yangu utahisi sana na pole sana kwa kuhisi.

Nakushauri ukimaliza Popcorn, agizia mahindi ya kukoboa kula yakiisha agizia na pumba za mahindi kula shushia na maji ya bariiiiiiiidi.
Hahahahahha kweli kabisaa
 
"Kutongoza"?
Nani anajua kutongoza. Jiwe mwenyewe angejua kutongoza asingevuruga uchaguzi. Hajui kabisa kutongoza. Yeye ni kuvamia tu!

Na huyo aliyeteuliwa uwaziri wa 'kutongoza', sura yake pekee, hasa ile mijicho na mdomo unaotoa mate, pamoja na kujua kujinyenyekesha akiwa mbele ya hao wakubwa, hana ushawishi wa kuweza kumtongoza yeyote.
Ila tundu lissu aweza kutongozaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nakumbuka ulisema Lisu lazime awe raisi, vipi amekuwa raisi?

Nakumba ulisema maandamano lazima yatokee, vipi yametokea?

Sasa hivi unasema kunakitu unahisi kinakuja, ndugu yangu utahisi sana na pole sana kwa kuhisi.

Nakushauri ukimaliza Popcorn, agizia mahindi ya kukoboa kula yakiisha agizia na pumba za mahindi kula shushia na maji ya bariiiiiiiidi.
Kwani nani aliyeshinda kweli uchaguzi wa mwaka huu???
Mngeacha kura halali ndo zihesabiwe na kutangzwa ndo ungeona Kama Lissu ameshinda au hajashindwa
 
Je ni mazoea ama ni Sheria imeelekeza lazima wawepo.
Si sheria in fact...

Ni utamaduni ama mazoea kwa namna hiyo hiyo ulivyosema...

Lakini "culture" ama mazoea mazuri yanapokata ghafla bila maelezo au taarifa, lazima mtu uanze kuwa na mashaka ya kuanza kufikiri labda umemkosea partner wako mliozoea kufanya naye jambo fulani jema...

Kwa maoni yangu, hii ndiyo mantiki ya hoja ya mleta mada...
 
Nakuonea huruma sana. Unasema humuogopi Amsterdam wakati huyo bwana wako Magufuli aliposikia tu Amsterdam kawasilisha maombi ICC alfajili akashtuka na kuteua waziri wa mambo ya nje akajaribu kuzima upepo [emoji23][emoji23]

Unajiona una akili kumbe ni mjinga tu, hizo rasilimali za Africa mnayo teknolojia ya kuzichimba peke yenu??? Alafu mtaziuza wapi ili koste hela za kujiendesha??? Huna akili kabisa
Lissu atashinda ,sawa bavicha
 
Mimi sijui uzito wa mchuuzi Amsterdam, lakini hakuna sehemu aliyoweza kuwa best seller.Wachuuzi wanaoisaidia Tanzania wako wengi tena wenye nguvu kama China,Israel, USA.South Africa,Qatar n.k
Kila mchuuzi ana maslahi binafsi,hapendwi mtu ni maliasili yake.
Ndio maana nchi kama Saudia yenye kukiuka haki za binadamu inalambwa miguu na mataifa vinara wa Demokrasia kama Uingereza, Marekani, Japan,kwa sababu ya mafuta yake.
 
Kwa kifupi jangwa la COVID-19 Limeziathili sana Nchi za Marekani,na ulaya. Tena zimeshuka kiuchumi haziwezi kutoa msaada Tz,sisi tunapaswa kuzisaidia.Live long JPM Life president
 
Back
Top Bottom