KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
"Kutongoza"?Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!
Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
Nani anajua kutongoza. Jiwe mwenyewe angejua kutongoza asingevuruga uchaguzi. Hajui kabisa kutongoza. Yeye ni kuvamia tu!
Na huyo aliyeteuliwa uwaziri wa 'kutongoza', sura yake pekee, hasa ile mijicho na mdomo unaotoa mate, pamoja na kujua kujinyenyekesha akiwa mbele ya hao wakubwa, hana ushawishi wa kuweza kumtongoza yeyote.