Ezenwe Olumba
Senior Member
- Jan 24, 2020
- 128
- 238
china yake ya Hong Kong mara Taiwan yamemshinda harafu ahangaike na sisi tulio mnyima bandari na ujenzi wa sgr, are you crazing ??Tutashirikiana na China mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
china yake ya Hong Kong mara Taiwan yamemshinda harafu ahangaike na sisi tulio mnyima bandari na ujenzi wa sgr, are you crazing ??Tutashirikiana na China mkuu
Ukutane Na Kada Wa Ccm🤣 🤣 🤣
Donor Country!!😂😁😅😏😄😄😂
Halafu Mtu Anasimama Kwenye Mimbari Anasema Sisi Ni Tajiri. Nataka Wakina Laizer Wengi SanaDonor country watoto wanakaa chini shuleni hawana madawati
Hata kalamu na daftari hawana😡😡
Ila siasa ni mwanaharamu kabisa
SI NDIO MNAOWATUKANA KILA SIKU KUWA NI MABEBERU ....WAKIKOSEKANA KWANI KUNA UBAYA ...Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!
Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
Ukisema Umoja wa Ulaya basi hupaswi tena kuzitaja nchi za Sweden, Norway, Ujerumani, na Finland.Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
Aisee....yaani wewe ulidhani hao wangehudhuria?!?! Hizo nchi ndizo imperialists powers ...zote Zina hofu na mafanikio au mwelekeo wa TZ kisiasa, kiuchumi na kijamii...zote zinaiona TZ kuwa ni nchi hatari kwa maslahi yao kiuchumi na kisiasa ...Zina hofu na Tanzania kuwa msimamo wa kiongozi wake mkuu yaani JPM unaweza kuziambukiza nchi nyingine za afrika...kumbuka bara la Afrika ndilo bara tajiri kwa raslimali...nchi za ulaya zimetajirika kwa sababu ya Afrika...kwa hiyo Kama Afrika itajitegemea ni Jambo la hatari mno kwa status quo ya dunia...kwa hiyo Magufuli anaogopwa mno na watafanya Kila wawezalo kuiangamiza Tanzania..Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Amani iwe nanyi wadau!
Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake.
Leo alfajiri, Magufuli akateua mawaziri wawili -- wa Mambo ya Nje, na wa Fedha.
Muda mchache uliopita kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa nchi zinazoisadia zaidi Tanzania kifedha na kimisaada yaani Marekani, Uingereza, Sweden, Norway, Japan, Ujerumani, Finland, Korea ya Kusini na Umoja wa Ulaya hawajaudhuria hotuba ya Rais Magufuli Bungeni.
Naomba mnaojua mtuelezee humu, kuna nini kinaendelea jikoni? Au ndo mambo yashakuwa mambo?
Naomba michango yenu!
Nadhani kama sikosei Kanuni za Bunge haziruhusu Rais wa Zanzibar kuhudhuria Bunge la JMT.Stay tuned, kwani Dr. Mwinyi alikuepo? Yanapigwa furushi la vikwazo si mda
😂😂😂😂 umadhani ni lissu huyo wakujipendekeza kwa weupe kina Robert??😂😂Yaani pamoja na matamko yote yale ya kutoridhishwa na namna Uchaguzi ulivyofanyika, ulitegemea waende pale kufanya nini?!
Nakuhakikishia, japo jiwe amejitutumua pale Bungeni, lakini "deep inside" anajua ameharibu, na sijui ataanzia wapi kuwatongoza wale Wazungu.
Mkuu uliahidi mengi sana na yote hajatokea.Unafikiri bila Amsterdam Lissu angeruhusiwa hata kuingia nchini na kugombea uraisi?
hata wewe unaishi kwa hisani ya watu flaniHai mabeberu wanakulisha na kukusaidia Nini kwa kiasi kikubwa Sana ambacho huwezi kujitafutia? Halafu naona umeandika wanawalisha ina maana wewe na familia yenu au chadema ndo maana Lissu kaona ahamie hukohuko au wewe na Nani?
EU nao pia wana ubalozi wao tofauti na nchi za EUUkisema Umoja wa Ulaya basi hupaswi tena kuzitaja nchi za Sweden, Norway, Ujerumani, na Finland.
Ulilosema ndio ambalo wengi hawalijui.Wazungu si wakuwaamini wapo kwa maslahi yao,wanaangalia upepo tu nao utapita
Utanielewa hoja zangu siku si nyingi. Usitie shakaMajibu mtayapata siku si nyingi
Mkuu uliahidi mengi sana na yote hajatokea.
Labda wazungu wakamrudishie kwanza Trump Urais wake ndio nitawaelewa.
Sio Joe Biden na DemocratUlilosema ndio ambalo wengi hawalijui.