Kutokuwepo na siku ya kumbukizi ya kifo cha JPM tarehe 17 Machi kila mwaka ni dhihaka kwa taifa

Dhihaka kubwa!
 
Wakishamaliza waweke na ya Mkapa, ya Mwinyi na wengine watakaofuata mwisho wa siku mwaka mzima uwe sherehe tuendelee kula bata! Wachina watatufanyia kazi akili zetu hizi kibongobongo
Itungwe sheria; Rais, VP, PM akifariki kumbukizi lake ni mwaka mmoja tu unaofuata. Baada ya hapo ni family issues.

Otherwise huko mbele watakuja kufika late leaders say, 47 kama Marekani sijui itakuwa maadhimisho mangapi!

Worse enough kuna watakaokuja kuacha wosia may be kwa sababu za kiimani wakifa kumbukumbu lao lisiwepo itakuwa mvurugano.
 
Wakishamaliza waweke na ya Mkapa, ya Mwinyi na wengine watakaofuata mwisho wa siku mwaka mzima uwe sherehe tuendelee kula bata! Wachina watatufanyia kazi akili zetu hizi kibongobongo

Kuna ubaya gani kuwakumbuka viongozi wetu wema, mbona kila week unapumzika siku 2 kwa mwaka unakuwa umepoteza siku ngapi? bado Kuna pasaka, Christmas, siku kuu za Idd na sherehe nyingine kibao za kiserikali zinafanyika na watu wanapumzishwa nyumbani. Iweje tarehe 17 March ionekane ndo siku pekee inayopotea?
 
Tukifanya hivyo Marekani wao ana marais takribani 43 hawapo duniani kwa hiyo waruhusu siku 43 za kumbukizi ya marais wao kama sio ufala ni nini. UCHAWALISM UNAZIDI KUTAMALAKI
 
Unachotaka kifanyike wewe ni sawa na kutarajia mwizi aliekubia akusaidie kutafuta alichoiba.

Kuweka kumbukizi ya hiyo siku ni sawa na kujisuta wenyewe.
 
Anzisha wewe mkuu.

Kwani umekatazwa?

Labda serikali imesema kama Yesu "Waache wafu wawazike wafu wao".

"Let the dead bury their own dead" Luke 9:60.
 
Watanzania mna umwa.. hili ni tatizo zaidi ya Afya ya Akili...
 
Nyerere na karume wanatosha
 
Hivi ndio vitu wapiga kura wanaweza kufanya...

Magufuli alikuja ili kuwasanua watu kwamba akili mnazo lakini hamzitumii...
 
Acha upuuzi. Unadhani kusimamisha siku nzima watu wasifanye kazi ni jambo dogo kwa uchumi wa nchi? Nyerere na Karume wanatosha.
Kumbukizi sio mpaka kusimamisha shughuli maana hata mwenyewe asingependa watu wamkumbuke kwa kulala bali kwa kuchapa kazi.
Basi hata ibada na kupiga hotuba zake za kizalendo.
Hii haki inaweza kuminywa lakini haiwezi kufa; ipo siku bunge litaazimia
 
Mbona mnataka lazimisha Taifa kwamba mwendazake alifanya makubwa ndani ya nchi hii, uyu mwendazake ameondoka huku taifa akiwa amelipeleka nyuma sana, ndo mwanzilishi wa machawa
 
Sio dharau bali familia yake ikiiomboleza nasisi tukimkumbuka kwa mazuri inatosha. Uraisi ni taasisi na sasa hivi tunae Jemedari Mama Daktari Samia, ni kupiga kazi kwa kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…