Alirudisha Imani ya wananchi kwa CCM maana ilifika wakati ukivaa shati la kijani mtaani unakimbizwa, ila wakati wake mambo yalikuwa tofauti. Hawaoni ilo piaAmeleta mageuzi makubwa kwenye taifa hadi sasa mfumo wake wa utawala mmeukopi😁 halafu mnajitekenya na kujicheka eti Magufuli hajaacha Legacy!
Magufuli ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania. Alikuwa muuaji, mwizi wa mali ya umma na mwongo, mkandamiza demokrasia na mtu asiyefuata utawala wa sheria. Kama angekuwa bado hai leo hii Taifa letu lingekuwa na mpasuko mkubwa kiuchumi kisiasa na kijamii kuliko zilivyo Yemen na Somalia.17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara, maji na umeme.
Magufuli aliimarisha nidhamu katika utumishi wa umma na kutuongoza vyema wakati wa janga la korona.
Kwa machache hayo aliyoyafanya kwa Tanzania, ilikuwa ni heshima kwake japo serikali kutenga siku hii moja tu ya tarehe 17 March kila mwaka angalau kukumbuka na kuenzi yale mema yote aliyotuachia. Haieleweki kabisa mtu wa maana kama JPM kukosa heshima yake ndani ya nchi hii.
Mnafiki peke yake ndo anaweza kusema JPM hastahili heshima ya kumbukikizi kitaifa japo yote aliyoyoacha tunajiona.
Kuna nyakati inapaswa kuacha nongwa na kutoa heshima panopostahili. Kama baba wa Taifa anakumbukwa kwa harakati zake za kuleta uhuru wa kisiasa basi ni dhahiri kuwa John Pombe Magufuli alipambania uhuru wa kiuchumi kwa taifa letu na angalau matunda yanaonekana.
Tusipoyasema haya hata mawe barabarani yanaweza kusema mema ya huyu mwamba.
Kwa heshima kabisa niwatakie jioni njema na kumbukikizi ya kifo cha JPM. Tutakukumbuka kwa mema kamanda
Sasahivi wanagawana tu mali ya umma huku wakiendelea kumpamba kuwa anaupiga mwingi 😁😁! Wanatamani hata atawale milele wanafiki hawa!Mnamchukia JPM kwanini? wote mlikuwa mafisadi, wazembe na wabadhirifu wa mali ya umma ? Maana wengi ndo wanamchukia
Kwakua alikuwa anagusa mulemule...mzilankenda alikuwa hataniwi kwaiyo sishangai nyinyi wazembe, wabadhirifu na wezi wa mali ya umma hamuwezi kumpenda
😁😁🫣Hujatutaja Watibeli Mkuu
Hakuwa na maajabu yoyote, msidhani wote tulitekwa na propaganda zake. Kama unadhani ana umihimu huo wekeni siku rasmi kwenye familia yenu.17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara, maji na umeme.
Magufuli aliimarisha nidhamu katika utumishi wa umma na kutuongoza vyema wakati wa janga la korona.
Kwa machache hayo aliyoyafanya kwa Tanzania, ilikuwa ni heshima kwake japo serikali kutenga siku hii moja tu ya tarehe 17 March kila mwaka angalau kukumbuka na kuenzi yale mema yote aliyotuachia. Haieleweki kabisa mtu wa maana kama JPM kukosa heshima yake ndani ya nchi hii.
Mnafiki peke yake ndo anaweza kusema JPM hastahili heshima ya kumbukikizi kitaifa japo yote aliyoyoacha tunajiona.
Kuna nyakati inapaswa kuacha nongwa na kutoa heshima panopostahili. Kama baba wa Taifa anakumbukwa kwa harakati zake za kuleta uhuru wa kisiasa basi ni dhahiri kuwa John Pombe Magufuli alipambania uhuru wa kiuchumi kwa taifa letu na angalau matunda yanaonekana.
Tusipoyasema haya hata mawe barabarani yanaweza kusema mema ya huyu mwamba.
Kwa heshima kabisa niwatakie jioni njema na kumbukikizi ya kifo cha JPM. Tutakukumbuka kwa mema kamanda
Watu hawataki jua ya mwendazake!
Hakuna rais ambaye tz hakufanya jambo la msingi kwa wakati wake. So kama ndivyo basi Mkapa day mhimu pia17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara, maji na umeme.
Magufuli aliimarisha nidhamu katika utumishi wa umma na kutuongoza vyema wakati wa janga la korona.
Kwa machache hayo aliyoyafanya kwa Tanzania, ilikuwa ni heshima kwake japo serikali kutenga siku hii moja tu ya tarehe 17 March kila mwaka angalau kukumbuka na kuenzi yale mema yote aliyotuachia. Haieleweki kabisa mtu wa maana kama JPM kukosa heshima yake ndani ya nchi hii.
Mnafiki peke yake ndo anaweza kusema JPM hastahili heshima ya kumbukikizi kitaifa japo yote aliyoyoacha tunajiona.
Kuna nyakati inapaswa kuacha nongwa na kutoa heshima panopostahili. Kama baba wa Taifa anakumbukwa kwa harakati zake za kuleta uhuru wa kisiasa basi ni dhahiri kuwa John Pombe Magufuli alipambania uhuru wa kiuchumi kwa taifa letu na angalau matunda yanaonekana.
Tusipoyasema haya hata mawe barabarani yanaweza kusema mema ya huyu mwamba.
Kwa heshima kabisa niwatakie jioni njema na kumbukikizi ya kifo cha JPM. Tutakukumbuka kwa mema kamanda
Naunga mkono point yako japo namkubali JPM. Kibaya ni kwamba yeye hayati enzi za uongozi wake alitaka kuwaaminisha watu kuwa aliyemtangulia hakustahili heshima aliyopewa na yeye mwenyewe alikuwa juu kuliko watangalizi wake.Huu upuuzi wenu pelekeni Chato, wakati Mzee Mwinyi anatuondowa kwenye dhiki wewe ulikuwa hujazaliwa.
Tusherekee siku kuu yake ya Kuzaliwa.Kwa heshima kabisa niwatakie
Magufuli alipenda kutawala kundi la watu wajinga, ndio maana yeye alijitangaza ni rais wa wanyonge, sasa mkikataa unyonge atamawala nani?Hivi ndio vitu wapiga kura wanaweza kufanya...
Magufuli alikuja ili kuwasanua watu kwamba akili mnazo lakini hamzitumii...
Umeongea vzr kila rais kuna jambo kafanya linalostahili kumbukizi,hii nchi haikuwa hv 1961,kila rais kapambana kivyake.Nakupinga swala la ckukuu kwa kutofanya kazi sababu wakifika marais 30 ckukuu zitakuwa nyingi sana.17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara, maji na umeme.
Magufuli aliimarisha nidhamu katika utumishi wa umma na kutuongoza vyema wakati wa janga la korona.
Kwa machache hayo aliyoyafanya kwa Tanzania, ilikuwa ni heshima kwake japo serikali kutenga siku hii moja tu ya tarehe 17 March kila mwaka angalau kukumbuka na kuenzi yale mema yote aliyotuachia. Haieleweki kabisa mtu wa maana kama JPM kukosa heshima yake ndani ya nchi hii.
Mnafiki peke yake ndo anaweza kusema JPM hastahili heshima ya kumbukikizi kitaifa japo yote aliyoyoacha tunajiona.
Kuna nyakati inapaswa kuacha nongwa na kutoa heshima panopostahili. Kama baba wa Taifa anakumbukwa kwa harakati zake za kuleta uhuru wa kisiasa basi ni dhahiri kuwa John Pombe Magufuli alipambania uhuru wa kiuchumi kwa taifa letu na angalau matunda yanaonekana.
Tusipoyasema haya hata mawe barabarani yanaweza kusema mema ya huyu mwamba.
Kwa heshima kabisa niwatakie jioni njema na kumbukikizi ya kifo cha JPM. Tutakukumbuka kwa mema kamanda
CCM wanasheherekea nini sasa wakati ni wao ndio waliomuua kuficha haibu zao?17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara, maji na umeme.
Magufuli aliimarisha nidhamu katika utumishi wa umma na kutuongoza vyema wakati wa janga la korona.
Kwa machache hayo aliyoyafanya kwa Tanzania, ilikuwa ni heshima kwake japo serikali kutenga siku hii moja tu ya tarehe 17 March kila mwaka angalau kukumbuka na kuenzi yale mema yote aliyotuachia. Haieleweki kabisa mtu wa maana kama JPM kukosa heshima yake ndani ya nchi hii.
Mnafiki peke yake ndo anaweza kusema JPM hastahili heshima ya kumbukikizi kitaifa japo yote aliyoyoacha tunajiona.
Kuna nyakati inapaswa kuacha nongwa na kutoa heshima panopostahili. Kama baba wa Taifa anakumbukwa kwa harakati zake za kuleta uhuru wa kisiasa basi ni dhahiri kuwa John Pombe Magufuli alipambania uhuru wa kiuchumi kwa taifa letu na angalau matunda yanaonekana.
Tusipoyasema haya hata mawe barabarani yanaweza kusema mema ya huyu mwamba.
Kwa heshima kabisa niwatakie jioni njema na kumbukikizi ya kifo cha JPM. Tutakukumbuka kwa mema kamanda
Inaonekana hujui maana ya legacy. Mwinyi na Mkapa waliongoza miaka kumi kumi tuambie siku yao ya kumbukizi. Mwenye hiyo tarehe ni baba ws Taifa tu17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara, maji na umeme.