Tuliza makalio, we mwenyewe unafanya kazi saa ngapiKwakua alikuwa anagusa mulemule...mzilankenda alikuwa hataniwi kwaiyo sishangai nyinyi wazembe, wabadhirifu na wezi wa mali ya umma hamuwezi kumpenda
Magufuri kaingia madarakani kakuta Tz na wanachi wake ni wananuka umasikini na ameondoka kwawaacha wananuka umasikini, sasa kafanya mageuzi gani?Ameleta mageuzi makubwa kwenye taifa hadi sasa mfumo wake wa utawala mmeukopi😁 halafu mnajitekenya na kujicheka eti Magufuli hajaacha Legacy!
Sijakataa kiongozi nimesema tu ndo akili za kiafrika so upo palepale not a big dealKuna ubaya gani kuwakumbuka viongozi wetu wema, mbona kila week unapumzika siku 2 kwa mwaka unakuwa umepoteza siku ngapi? bado Kuna pasaka, Christmas, siku kuu za Idd na sherehe nyingine kibao za kiserikali zinafanyika na watu wanapumzishwa nyumbani. Iweje tarehe 17 March ionekane ndo siku pekee inayopotea?
Fanya kazi.17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara, maji na umeme.
Magufuli aliimarisha nidhamu katika utumishi wa umma na kutuongoza vyema wakati wa janga la korona.
Kwa machache hayo aliyoyafanya kwa Tanzania, ilikuwa ni heshima kwake japo serikali kutenga siku hii moja tu ya tarehe 17 March kila mwaka angalau kukumbuka na kuenzi yale mema yote aliyotuachia. Haieleweki kabisa mtu wa maana kama JPM kukosa heshima yake ndani ya nchi hii.
Mnafiki peke yake ndo anaweza kusema JPM hastahili heshima ya kumbukikizi kitaifa japo yote aliyoyoacha tunajiona.
Kuna nyakati inapaswa kuacha nongwa na kutoa heshima panopostahili. Kama baba wa Taifa anakumbukwa kwa harakati zake za kuleta uhuru wa kisiasa basi ni dhahiri kuwa John Pombe Magufuli alipambania uhuru wa kiuchumi kwa taifa letu na angalau matunda yanaonekana.
Tusipoyasema haya hata mawe barabarani yanaweza kusema mema ya huyu mwamba.
Kwa heshima kabisa niwatakie jioni njema na kumbukikizi ya kifo cha JPM. Tutakukumbuka kwa mema kamanda
Ww fata yaliyo kuleta dunian hyo ya kuwaenz wafu dunia ya sasa ipo mbali haitaji ukfa umekufa maisha lazma yaendelee sawa ngosha?17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara, maji na umeme.
Magufuli aliimarisha nidhamu katika utumishi wa umma na kutuongoza vyema wakati wa janga la korona.
Kwa machache hayo aliyoyafanya kwa Tanzania, ilikuwa ni heshima kwake japo serikali kutenga siku hii moja tu ya tarehe 17 March kila mwaka angalau kukumbuka na kuenzi yale mema yote aliyotuachia. Haieleweki kabisa mtu wa maana kama JPM kukosa heshima yake ndani ya nchi hii.
Mnafiki peke yake ndo anaweza kusema JPM hastahili heshima ya kumbukikizi kitaifa japo yote aliyoyoacha tunajiona.
Kuna nyakati inapaswa kuacha nongwa na kutoa heshima panopostahili. Kama baba wa Taifa anakumbukwa kwa harakati zake za kuleta uhuru wa kisiasa basi ni dhahiri kuwa John Pombe Magufuli alipambania uhuru wa kiuchumi kwa taifa letu na angalau matunda yanaonekana.
Tusipoyasema haya hata mawe barabarani yanaweza kusema mema ya huyu mwamba.
Kwa heshima kabisa niwatakie jioni njema na kumbukikizi ya kifo cha JPM. Tutakukumbuka kwa mema kamanda
Hizi akili za kuvukia barabara,, nothing elseHuu upuuzi wenu pelekeni Chato, wakati Mzee Mwinyi anatuondowa kwenye dhiki wewe ulikuwa hujazaliwa.
Wewe ndiye mpuuzi bila shaka, kuwa na kumbukizi ni nani aliyesema kusiwe na kazi?Acha upuuzi. Unadhani kusimamisha siku nzima watu wasifanye kazi ni jambo dogo kwa uchumi wa nchi? Nyerere na Karume wanatosha.
Ukimkumbuka wewe inatoshaWewe ndiye mpuuzi bila shaka, kuwa na kumbukizi ni nani aliyesema kusiwe na kazi?
17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara, maji na umeme.