Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

kwanza kabisa unapata choo kigumu au laini

ikiwa unapata choo kigumu basi huna ugonjwa wowote kula vyakula vya kulainisha choo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mishipa midogo midogo ya kwenye anus inakuwa imepasuka. Kutokana kuwa na choo kigumu Mara kwa Mara ama kujikamua sana wakati wa forodha. (Kushusha mzigo).
 
Ndugu wanajamvi nimeamka asubuhi kujisaidia kwa mshangao mkubwa kinyesi kimejaa damu ilihali najiona sina tatizo au maumivu ya aina yoyote.

Wajuvi wa magonjwa na tiba naombeni kujua tatizo linaweza kuwa nini?

Mimi hunywa sana pombe kali.
 
Nenda hospitali haraka.
Choo kigumu au kilaini? Na ilichukua muda gani tokea upate choo mara ya meisho na hii iliyotokea chenye damu?
 
Jana usiku nimepata choo vizuri tu choo wala sio kigumu. leo ndio nashangaa kinyesi kina Damu nyingi sana
 
Ndugu wanajamvi nimeamka asubuhi kujisaidia kwa mshangao mkubwa kinyesi kimejaa damu ilihali najiona sina tatizo au maumivu ya aina yoyote.

Wajuvi wa magonjwa na tiba naombeni kujua tatizo linaweza kuwa nini?

Mimi hunywa sana pombe kali.
una kunywaga gongo?? au kinywaji gani, nenda hospital mkuu
 
Ndugu wanajamvi nimeamka asubuhi kujisaidia kwa mshangao mkubwa kinyesi kimejaa damu ilihali najiona sina tatizo au maumivu ya aina yoyote.

Wajuvi wa magonjwa na tiba naombeni kujua tatizo linaweza kuwa nini?

Mimi hunywa sana pombe kali.
Imeambatana na homa au kichwa kuuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…