Kutolewa kwenye mashindano Biashara united ni uzembe wa TFF na Waziri mwenye dhamana

Kutolewa kwenye mashindano Biashara united ni uzembe wa TFF na Waziri mwenye dhamana

Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Acha UJINGA WEWE. BIASHARA UNITED SIO TAIFA STARS. NI TIMU AMBAYO INA UONGOZI WAKE. HAWAJALETA MALALAMIKO RASMI POPOTE, NI UJINGA WA TIMU, SIO WA TAIFA. HASIRA ZAKO WAPELEKEE Tff, acha uzwazwa wa mhemko.
 
Kama hawkufika uwanjani bila taarifa wapigwe faini ! Wanachama wa club hiyo wawawajibishe viongozi wa timu.
 
Acha ufala shenzi mbona wengine wamemuelewa. Suala LA michezo nchi hii ni ajira kwa wengine na mashindano makubwa kama hayo hutoa fursa kwa vijana wakitanzania kuonekana nje.
Unachukulia kila kitu ni mzaha......shame on you. Nakutangazia vita halali ya matusi kama uko tayari. BLADIFAKENI.
FAKENI indeed.
 
Ile mikwara ya Waziri Mkuu siku ya tuzo ,Ina maana hakuwa na taarifa sahihi!
Kajiabisha!
Tuna Safari ndefu!
Kuna sababu gani kuingiza Timu Nne za kiutopolo hivi!
Afadhali Azam wamejitahidi!
 
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Mkuu wa mkoa sialikuwa anawapa motisha ya mamilion.Kwann wamekuwa wanasuasua sasa wakati hela zipo.Yaani wanapewa motisha wakicheza na SIMBA SC halafu wakiwa game za kimataifa wanaachwa.TFF na Wizara hawana kosa maana walijua mkoa wao utawasaidia.
 
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Waziri ana kosa gani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hapana. Kuna sababu mbili za Biashara Utd kultolewa ni:-
  • Laana ya kula njama na Yanga kutaka kuifunga Simba kwenye mechi ya ligi.
  • Nuksi ya Happi kuitunuku vijihela vyake
Hahahaha sababu za kibwege

Mkiombwa uthibitisho wa kula njama za kuifunga nyau hamna

Magoli aliwapa hela mechi ya kwanza, baada ya kuwakazia nyau ajawapa hela mbona ujasema Iyo kama sababu (kukataa rushwa ya bwana magoli)

NB. Tp mazembe katolewa club bingwa je ni laana ya nani?
 
Tff ingewadhamini mahali wakapata hata mkopo wasafiri
TFF wako bize kuona namna gani simba mwaka huu atakuwa na viporo 15+ Ili kumrahisishia kuchukua ligi

TFF ya kalia ihangaike kusaidia timu kupata maendeleo uliona wap?

Kama timu za ndani tu huwa Zina feri kusafiri ama zinafika alfajiri na jioni zinacheza mechi TFF hawajawahi hata jipapasa kuona zinawahi fika eneo la tukio hata kwa kifungu chake cha dharura na atawakata kwenye mapato ya mlangoni ye amekaa tu mbwa hawa
 
CAF wameipiga faini timu ya Biashara $20,000 na kutoshiriki mashindano miaka miwili.
 
Mm nawalaumu biashara na viongoz wa biashara kuendesha timu kisiasa Hiv unajua huna ela na Libya mbali baada ya ile match ya kwanza wangetembeza bakuli na harambee ingepita kinachobak Tff na serekali inachangia
 
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili na namwomba Rais na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa.
Waziri anahusikaje hapo? Kwani Biashara ni timu ya Taifa? Kwahiyo na Harmonize akishindwa kwenda kwenye Tuzo za Africa Music Awards, Waziri atumbuliwe sio? Na Shilole akishindwa kwenda kwenye Mashindano ya Kusasambua, Waziri atumbuliwe sio?
 
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili na namwomba Rais na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa.
Wako tayari ela kugawia watu tuzo lakini sio kusafirisha timu ya Biashara kwenda kumalizia mechi yao.

Lakini kabla hatujalaumu viongozi, je ni kweli Biashara nao walifanya jitahada ili wapate hizo ela? Waliwafata wadau mbali mbali kuwaomba kusaidiwa wakanyimwa? Je walienda benki kukopa wakanyimwa? Je walienda kwa viongozi wa wizara wakanyimwa? Je walifika TFF wakaomba kusaidiwa wakaambiwa vipi? Wakuu wa mkoa na wilaya waliwaendea wakashindwa kuwasaidiwa?
 
Na elimu yako yote unashindwa kujua majukum ya shirikisho la mpira. SI Bora wazazi wako wangesomesha ng'ombe.
Chuo gani wanafundisha majukumu ya TFF huu ndo msingi wa swali?
 
Na elimu yako yote unashindwa kujua majukum ya shirikisho la mpira. SI Bora wazazi wako wangesomesha ng'ombe.
Unajua moja ya objective ya TFF ni ku improve soka

Hapa unaelewa nini? Ama unataka hadi iandikwe TFF atawasaidia timu flani kusafiri kama wakikwamba ndo uelewe Ana jukumu la kufanya

Mnaenda shule kukariri madesa mnakuja sumbua hapa
 
Haya ni matokeo ya nchi kua maskini na viongozi wenye dhamana ya ustawi wa nchi na wananchi kuendekeza siasa uchwara badala ya mambo ya msingi.Hii inaonyesha kua ligi yetu ni ligi ndogo sana inakuzwa tu na media.Tushukuru Azam kwakuweka ule uwekezaji wa haki za kurusha matangazo hili angalau mwakani timu nyingi zitaanza kupunguza ukata unaowakabili vinginevyo ni aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom