MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Timu moja ya nchini Mali inaitwa Binga fc wametembea kwa miguu km 15 kufika liberia ilipokuwa timu pinzani waliyopangiwa nayo na wamepiga game nzito na kufanikiwa kusonga mbele.
Sisi hatujafikia hatua ya kutembea kwa mguu uwezo tunao wa kujichanga hata biashara wapumbafu walushindwa kuomba msaada wachangiwe hadi inakuwa hivi.
Nimeumia sana.
Sisi hatujafikia hatua ya kutembea kwa mguu uwezo tunao wa kujichanga hata biashara wapumbafu walushindwa kuomba msaada wachangiwe hadi inakuwa hivi.
Nimeumia sana.