antoniozagarino
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 202
- 195
Acha UJINGA WEWE. BIASHARA UNITED SIO TAIFA STARS. NI TIMU AMBAYO INA UONGOZI WAKE. HAWAJALETA MALALAMIKO RASMI POPOTE, NI UJINGA WA TIMU, SIO WA TAIFA. HASIRA ZAKO WAPELEKEE Tff, acha uzwazwa wa mhemko.Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
FAKENI indeed.Acha ufala shenzi mbona wengine wamemuelewa. Suala LA michezo nchi hii ni ajira kwa wengine na mashindano makubwa kama hayo hutoa fursa kwa vijana wakitanzania kuonekana nje.
Unachukulia kila kitu ni mzaha......shame on you. Nakutangazia vita halali ya matusi kama uko tayari. BLADIFAKENI.
Mkuu wa mkoa sialikuwa anawapa motisha ya mamilion.Kwann wamekuwa wanasuasua sasa wakati hela zipo.Yaani wanapewa motisha wakicheza na SIMBA SC halafu wakiwa game za kimataifa wanaachwa.TFF na Wizara hawana kosa maana walijua mkoa wao utawasaidia.Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Waziri ana kosa ganiHaingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili, na namwomba raisi na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa wa
Hahahaha sababu za kibwegeHapana. Kuna sababu mbili za Biashara Utd kultolewa ni:-
- Laana ya kula njama na Yanga kutaka kuifunga Simba kwenye mechi ya ligi.
- Nuksi ya Happi kuitunuku vijihela vyake
Hayo ndio majukumu ya TFF sio?Tff ingewadhamini mahali wakapata hata mkopo wasafiri
TFF wako bize kuona namna gani simba mwaka huu atakuwa na viporo 15+ Ili kumrahisishia kuchukua ligiTff ingewadhamini mahali wakapata hata mkopo wasafiri
We ni john kisomoHayo ndio majukumu ya TFF sio?
Hivi watanzania elimu zenu vyuoni huwa mnaenda kusomea ujinga ?
Waziri anahusikaje hapo? Kwani Biashara ni timu ya Taifa? Kwahiyo na Harmonize akishindwa kwenda kwenye Tuzo za Africa Music Awards, Waziri atumbuliwe sio? Na Shilole akishindwa kwenda kwenye Mashindano ya Kusasambua, Waziri atumbuliwe sio?Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili na namwomba Rais na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa.
Na elimu yako yote unashindwa kujua majukum ya shirikisho la mpira. SI Bora wazazi wako wangesomesha ng'ombe.We ni john kisomo
Ni chuo gani wanafundisha majukumu ya TFF.
Wako tayari ela kugawia watu tuzo lakini sio kusafirisha timu ya Biashara kwenda kumalizia mechi yao.Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili na namwomba Rais na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa.
Chuo gani wanafundisha majukumu ya TFF huu ndo msingi wa swali?Na elimu yako yote unashindwa kujua majukum ya shirikisho la mpira. SI Bora wazazi wako wangesomesha ng'ombe.
Unajua moja ya objective ya TFF ni ku improve sokaNa elimu yako yote unashindwa kujua majukum ya shirikisho la mpira. SI Bora wazazi wako wangesomesha ng'ombe.