Hilo ni kosa la timu. Walijua toka July kuwa watatakiwa kutafuta pesa ili wacheze shirikishoTFF wako bize kuona namna gani simba mwaka huu atakuwa na viporo 15+ Ili kumrahisishia kuchukua ligi
TFF ya kalia ihangaike kusaidia timu kupata maendeleo uliona wap?
Kama timu za ndani tu huwa Zina feri kusafiri ama zinafika alfajiri na jioni zinacheza mechi TFF hawajawahi hata jipapasa kuona zinawahi fika eneo la tukio hata kwa kifungu chake cha dharura na atawakata kwenye mapato ya mlangoni ye amekaa tu mbwa hawa
Aisee viongozi wa hii timu ni wajinga mnoCAF wameipiga faini timu ya Biashara $20,000 na kutoshiriki mashindano miaka miwili.
Tumezoea kuirushia serikali lawamaNa elimu yako yote unashindwa kujua majukum ya shirikisho la mpira. SI Bora wazazi wako wangesomesha ng'ombe.
Qumer wewe na wenzako .... Ndio mnataka tuwe wazalendo na mawazo yenu ya usimba na uyanga ... Qumer de LA mer'mer yo....Hapana. Kuna sababu mbili za Biashara Utd kutolewa ni:-
- Laana ya kula njama na Yanga kutaka kuifunga Simba kwenye mechi ya ligi.
- Nuksi ya Happi kuitunuku vijihela vyake
Sahihi ila kosa linaenda na kwa tff maana walitakiwa fatilia maendeleo ya hizi timu pia maana ni changa lazima wajue wamejiandaajeHilo ni kosa la timu. Walijua toka July kuwa watatakiwa kutafuta pesa ili wacheze shirikisho
Sent using Jamii Forums mobile app
TUMEDHALILISHA TAIFA NA UTANZANIA WETU,ARE WE REALLY POOR AT THAT POINTHaingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa hili na namwomba Rais na waziri mkuu waliangalie kwa mapana jambo hili. Wajibisheni hawa.
Ila ni ccm mwenzako yule! Na bahati mbaya ccm yenyewe ipo kwa lengo la kuharibu tu, na siyo kuimarisha.Yule msomali anauwa soka letu!
Uko sahihi kabisa. Endeleeni tu kumheshimu. Ikiwezekana, hata kumlamba miguu yake, nyinyi mlambeni tu. Maana hakuna namna.Mwamedi tuendelee kumuheshimu tu...
Acheni upumbavu wenu!Unajua moja ya objective ya TFF ni ku improve soka
Hapa unaelewa nini? Ama unataka hadi iandikwe TFF atawasaidia timu flani kusafiri kama wakikwamba ndo uelewe Ana jukumu la kufanya
Mnaenda shule kukariri madesa mnakuja sumbua hapa
We Ni mjinga Sana kwasababu inaonekana umeanza kujua mpira hivi karibuni!Sahihi ila kosa linaenda na kwa tff maana walitakiwa fatilia maendeleo ya hizi timu pia maana ni changa lazima wajue wamejiandaaje
Kuwaachia kila kitu bila uangalizi wa karibu nalo ni tatizo ingekuwa yanga, azam, simba sawa ila hivi vi timu vichanga TFF hakwepi lawama
Achen siasa za kishamba wizara na tff wanahusika vip apo wenye changamoto ni wao wenyewe biashara
Mkuu yote yanafahamika TFF kama mlezi wa vilabu lazima afatilie hizi timu kwa ukaribu ( hasa hizi timu changa )Acheni upumbavu wenu!
Au ndio mmeanzA kushabikia mpira miaka ya hivi karibuni ?
Unakumbuka mtibwa ilishindwa kwenda South Africa Kama hao hao wapumbavu Biashara United ? Au ulikuwa hujajua soka ?
Baishara tangu mechi Yao ya kwanza Djibouti ilikuwa bado kidogo washindwe kwenda au umesahau!
TFF inaingia vipi kwa timu ambayo inajua ratiba ya mechi zake zaidi ya Miezi miwili nyuma ? Ina maana walishtukizwa kuwa Jana ingebidi wawe Libya? Acheni kulilia Kama watoto wadogo. Viongozi wa biashara United wamekosea sana na inabidi wasiwe madarakani had muda huu.
Kama walikosa Vibali vya ndege ya ATCL walishindwa vipi kupanda ndege za Abiria ambazo zipo kibao Dar ? Walishindwa vipi kupanda ndege kibao za abiria ambazo zipo dar zinaenda Algeria ili wapande Basi hadi Libya ? Unataka hizo logistics zote wafanye tff ? Nini maana ya management za timu ?
Logistics zote kwa ngazi za vilabu zinafanywa na vilabu husika sio tff ! .... Kama ingekuwa ni timu ya taifa imefanya hivi lawama tungezipeleka TFF maana ndio wahusika ila kwa ngazi ya club lawama zinaenda kwa club husika. Na ndio maana hata adhabu ya CAF ya dola 20,000 imeenda kwa Club na sio tff .
Muwe mnaelewa wajinga Nyie.
Biashara hata kwenye semina elekezi iliyoendeshwa kwa vilabu vi 4 vilivyoshiriki kimataifa iliyoendeshwa na TFF hawakutuma muwakilishi wakidai hawana nauli.Mkuu yote yanafahamika TFF kama mlezi wa vilabu lazima afatilie hizi timu kwa ukaribu ( hasa hizi timu changa )
Mwenyewe unakili Hawa hata safari ya kwanza walionesha kusuasua ila bado TFF kama mlezi hakuona hatari hii bado hakutaka wafatilia awamu hii wamejipangaje
TFF kama mlezi kazi yake ni nini?
Watanzania wamezoea lawama zisizo na msingiBiashara hata kwenye semina elekezi iliyoendeshwa kwa vilabu vi 4 vilivyoshiriki kimataifa iliyoendeshwa na TFF hawakutuma muwakilishi wakidai hawana nauli.
We unaona hii timu iko serious?