Daa Bado TFF kama mlezi hakufatilia mwenendo wa Hawa jamaa akakaa kimya tu Ili Hali timu haielewekiBiashara hata kwenye semina elekezi iliyoendeshwa kwa vilabu vi 4 vilivyoshiriki kimataifa iliyoendeshwa na TFF hawakutuma muwakilishi wakidai hawana nauli.
We unaona hii timu iko serious?
TFF kama mlezi lawama lazima maana biashara alikuwa na viashiria vyote vya kushindwa kwenda anzia Iyo kuhudhuria semina, njoo mechi ya kwanza bado TFF hata hastukiWatanzania wamezoea lawama zisizo na msingi
Hapana! Serikali kwa haya masuala ya kimataifa inabidi iingilie kati, watu tunapigwa mitozo daily wanashindwa vipi kuisaidia timu? Au TFF ilishindwa nini kuikopesha Biashara halafu waje kuwakata kwenye fedha za udhamini wa ligu kuu? Mbona sasahivi udhamini wa ndani umeboreshwa maradufu?Achen siasa za kishamba wizara na tff wanahusika vip apo wenye changamoto ni wao wenyewe biashara
Ilitakiwa afanyaje?Daa Bado TFF kama mlezi hakufatilia mwenendo wa Hawa jamaa akakaa kimya tu Ili Hali timu haieleweki
Yaani hapa TFF hakwepi lawama kama mlezi kutofatilia mwenendo wa Hawa jamaa kimataifa
Hivi TFF inaendeshwa kama familia? Kwamba hela inatoka tu baba akifurahi......Yaani kuna watu wa ajabu sana kama waliweza mpeleka konki likwidi na wenzie misri walishindwa vipi isafirisha biashara kwa kuikopesha?
Afatilie mwenendo wa biashara maana tayari Alisha kuwa na mawenge tangu kikao cha maandalizi, safari ya kwanza Ili ingetokea shida kama hii (angetafuta plan B mapema)Ilitakiwa afanyaje?
Kwamba budget huwa ujapangwa bila kuwa na kifungu cha dharuraHivi TFF inaendeshwa kama familia? Kwamba hela inatoka tu baba akifurahi......
Au kama taasisi, wanakuwa na budget ya mwaka mzima?
Mkuu unaujua wajibu na majukumu ya TFF lakini....?Afatilie mwenendo wa biashara maana tayari Alisha kuwa na mawenge tangu kikao cha maandalizi, safari ya kwanza Ili ingetokea shida kama hii (angetafuta plan B mapema)
Hata hii kuwakodia ndage ni wazo la waziri mkuu, bado TFF hawakuwa na wazo
Wao kama walezi kazi yao ni Ipi?
Hapana mkuu, wangeenda hata taasisi za fedha halafu tff akawa ndio mdhamana, biashara kamwe hawezi mkimbia tff, tff alipaswa kuhakikisha biashara anacheza hii mechi kwa gharama na njia zozoteHivi TFF inaendeshwa kama familia? Kwamba hela inatoka tu baba akifurahi......
Au kama taasisi, wanakuwa na budget ya mwaka mzima?
Sioni kosa la TFF, ila kwa kuwa tumeamua kujifariji wacha tuwatupie lawama hao.....Kwamba budget huwa ujapangwa bila kuwa na kifungu cha dharura
Wangetumia kifungu cha dharura na Hawa mabwana wangerudisha kupitia viingilio na mapato mengine
Taasisi haziendi hivyo mkuu, biashara kama club wanabeba asilimia 95 ya lawama.....wasijifariji.Hapana mkuu, wangeenda hata taasisi za fedha halafu tff akawa ndio mdhamana, biashara kamwe hawezi mkimbia tff, tff alipaswa kuhakikisha biashara anacheza hii mechi kwa gharama na njia zozote
Unaelewa nacho zungumza amaMkuu unaujua wajibu na majukumu ya TFF lakini....?
Hilo wala sio jukumu lake kutatua matatizo ya kiuchumi ya ndani ya Club, mazoea ya kuishi kijamaa ndio yanatuponza.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Doh...Unaelewa nacho zungumza ama
TFF ni mlezi wa vilabu, Hawa biashara ni wapya kimataifa tangu mwanzo walisha onesha uzembe kwenye mambo yao
TFF alitakiwa kama mlezi alitakiwa wasaidia huku akiwaangalia kwa karibu kama wataferi (asaidie Ana awasiliane na wizara husika kusaidia)
Jukumu la TFF kwenye haya mashindano ni lipi?
Wapi nimesema TFF wasaidie kutembeza bakuri, nimesema TFF kama mlezi alitakiwa wafatilia hawa maana walisha onesha uzembe na kama angegundua mapema angewalipia na angekuja wakata kwenye mapato yao ya viingilioDoh...
Mkuu TFF waje wawasaidie kutembeza bakuli?
Maana japo lipo wazi ila wanaficha tatizo kubwa ni uchumi.
Hayo ni mambo ya ndani TFF hawezi ingilia masuala ya budget ya timu kamwe....
Kuna mambo ambayo ni majukumu ya tff kwa vilabu ila sio hili.....
VIONGOZI WA BIASHARA NI WAZEMBE,WAJIUDHURU.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Aseee....Wapi nimesema TFF wasaidie kutembeza bakuri, nimesema TFF kama mlezi alitakiwa wafatilia hawa maana walisha onesha uzembe na kama angegundua mapema angewalipia na angekuja wakata kwenye mapato yao ya viingilio
Viongozi wa biashara kuwa wazembe sio la kuuliza na viongozi wa TFF kama walezi nao hawakwepi lawama