MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Tuliwabeba sisi wenyewe halafu tuwahujumu tena? Ushenzi wao na huyo Hapi wao.Simba inaonekana ndio mmeihujumu biashara
Kwa kauli zenu inaonyesha mna bifu na Hawa watu.
Kwamba up ushaidi umeshindwa kupeleka takukuru waufanyie kazi?
Kwamba nyie mtashinda kila mechi na litimu libovu ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waziri anahusikaje hapo? Kwani Biashara ni timu ya Taifa? Kwahiyo na Harmonize akishindwa kwenda kwenye Tuzo za Africa Music Awards, Waziri atumbuliwe sio? Na Shilole akishindwa kwenda kwenye Mashindano ya Kusasambua, Waziri atumbuliwe sio?
Well said[emoji122][emoji122][emoji122]Acheni upumbavu wenu!
Au ndio mmeanzA kushabikia mpira miaka ya hivi karibuni ?
Unakumbuka mtibwa ilishindwa kwenda South Africa Kama hao hao wapumbavu Biashara United ? Au ulikuwa hujajua soka ?
Baishara tangu mechi Yao ya kwanza Djibouti ilikuwa bado kidogo washindwe kwenda au umesahau!
TFF inaingia vipi kwa timu ambayo inajua ratiba ya mechi zake zaidi ya Miezi miwili nyuma ? Ina maana walishtukizwa kuwa Jana ingebidi wawe Libya? Acheni kulilia Kama watoto wadogo. Viongozi wa biashara United wamekosea sana na inabidi wasiwe madarakani had muda huu.
Kama walikosa Vibali vya ndege ya ATCL walishindwa vipi kupanda ndege za Abiria ambazo zipo kibao Dar ? Walishindwa vipi kupanda ndege kibao za abiria ambazo zipo dar zinaenda Algeria ili wapande Basi hadi Libya ? Unataka hizo logistics zote wafanye tff ? Nini maana ya management za timu ?
Logistics zote kwa ngazi za vilabu zinafanywa na vilabu husika sio tff ! .... Kama ingekuwa ni timu ya taifa imefanya hivi lawama tungezipeleka TFF maana ndio wahusika ila kwa ngazi ya club lawama zinaenda kwa club husika. Na ndio maana hata adhabu ya CAF ya dola 20,000 imeenda kwa Club na sio tff .
Muwe mnaelewa wajinga Nyie.
DuhhhhBiashara hata kwenye semina elekezi iliyoendeshwa kwa vilabu vi 4 vilivyoshiriki kimataifa iliyoendeshwa na TFF hawakutuma muwakilishi wakidai hawana nauli.
We unaona hii timu iko serious?
Yes huu mzigo wataubeba wao wenyewe...kuna mwaka kati ya Ruvu shooting au JKT Ruvu mmoja wao aliqualify kuwakilisha nchi kimataifa lakini akajitoa mashindanoni wakidai wana ukata...sasa biashara kwanini hawakuchukua maamuzi kama haya mapema!?.Hii inaonyesha hii timu haipo serious hata kidogoTaasisi haziendi hivyo mkuu, biashara kama club wanabeba asilimia 95 ya lawama.....wasijifariji.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Acha kupoteza muda kuelewesha taahiraDoh...
Mkuu TFF waje wawasaidie kutembeza bakuli?
Maana japo lipo wazi ila wanaficha tatizo kubwa ni uchumi.
Hayo ni mambo ya ndani TFF hawezi ingilia masuala ya budget ya timu kamwe....
Kuna mambo ambayo ni majukumu ya tff kwa vilabu ila sio hili.....
VIONGOZI WA BIASHARA NI WAZEMBE,WAJIUDHURU.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Wewe ndio bogus kabisa, Yaani Simba kufungwa ni laana? Watu wanaongea point za maana wewe unaleta mashudu.Hapana. Kuna sababu mbili za Biashara Utd kutolewa ni:-
- Laana ya kula njama na Yanga kutaka kuifunga Simba kwenye mechi ya ligi.
- Nuksi ya Happi kuitunuku vijihela vyake
Libovu libovu raundi ya kwanza nje ndani limegongwa na mimba ya faini juu kweli libovu[emoji16][emoji16][emoji16]Simba inaonekana ndio mmeihujumu biashara
Kwa kauli zenu inaonyesha mna bifu na Hawa watu.
Kwamba up ushaidi umeshindwa kupeleka takukuru waufanyie kazi?
Kwamba nyie mtashinda kila mechi na litimu libovu ?
Kazi ya tff ni kudafirisha team ?TFF wako bize kuona namna gani simba mwaka huu atakuwa na viporo 15+ Ili kumrahisishia kuchukua ligi
TFF ya kalia ihangaike kusaidia timu kupata maendeleo uliona wap?
Kama timu za ndani tu huwa Zina feri kusafiri ama zinafika alfajiri na jioni zinacheza mechi TFF hawajawahi hata jipapasa kuona zinawahi fika eneo la tukio hata kwa kifungu chake cha dharura na atawakata kwenye mapato ya mlangoni ye amekaa tu mbwa hawa