KERO Kutopatikana kwa mfumo wa kuangalia madeni ya makosa barabarani (TMS Check)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Ndesalee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
1,092
Reaction score
520
Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine ama lah. Hii hupelekea dereva kupata adha awapo barabarani ya kusimamishwa na trafic barabarani na kuambiwa kuwa anadaiwa anatakiwa alipe deni husika papo hapo ili aweze kuachiwa na kuondoka. Tunaomba wahusika watatue hilo tatizo mapema mana ishakuwa kero sasa..
 
Sasa hao traffic police wanapokusimamisha wakakuambia unadaiwa wanatumia Mfumo Gani?.. Otherwise sema kama wameshaanza kubambikiza watu kesi
 
nilijua ni mm mwenyewe napata hii changamoto!
 
Sasa hao traffic police wanapokusimamisha wakakuambia unadaiwa wanatumia Mfumo Gani?.. Otherwise sema kama wameshaanza kubambikiza watu kesi
Wao wanatumia zile mashine zao (POS) kuangalia deni, na pia zile camera zao wanazotega pembezoni mwa barabara.
Mfumo haupatikani kwa njia ya web
 
unaweza kutumia app ya gepg tanzania pia na ukapata jawabu.
Aisee hii app nimeijulia kwenye uzi huu tuseme tu jamaa aliyeidizain Kama NI mbongo apewe mauwa yake...Sasa nimeitumia karibu kila angle ..na mashaka kwenye parking fee mi sijawahio kuwa na Deni Ila Hari linasoma Deni... Ni nzuri kwa kweli maji umeme token kilankitu kimeungwa nadhani itakuja kuwa app ya muhimu zaidi kwenye simu...ndio maana naipenda jf
 
Back
Top Bottom