Ndesalee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 1,092
- 520
Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine ama lah. Hii hupelekea dereva kupata adha awapo barabarani ya kusimamishwa na trafic barabarani na kuambiwa kuwa anadaiwa anatakiwa alipe deni husika papo hapo ili aweze kuachiwa na kuondoka. Tunaomba wahusika watatue hilo tatizo mapema mana ishakuwa kero sasa..