KERO Kutopewa Matokeo ya Chuo kwa muda stahiki hata baada ya kufanya ufuatiliaji wa muda mrefu

KERO Kutopewa Matokeo ya Chuo kwa muda stahiki hata baada ya kufanya ufuatiliaji wa muda mrefu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari, najua hii ni personal lakini nimemaliza chuo cha CBE Dar es salaam tangu mwaka 2021, nimekuwa nafuatilia matokeo yangu mpaka leo sijapata.

Nashindwa ku apply masters na ni vigumu kupanda cheo au mshahara sababu ya kukosa hayo matokeo ya bachelor.

Huwa nawaza kama hawa viongozi au wafanyakazi kama wana utu, sababu ingekuwa ni mtoto wako usingependa afanyiwe hivyo
 
Mtazamo wangu kwa bongo ya leo ni....
Ukisha fikia Bachelor level, kupanda cheo ama kuongezeka kwa amana ni connection tu.
By the way..... huu ni mtazamo wangu mkuu
 
Back
Top Bottom