Kutopokelewa ASEC Mimosa, Yanga wamestaarabika kidogo?

Sawa tumekusikia
Lakini unauongeleaje ushindi wa assec dhidi ya Simba leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ilisha jifia kila mtu anaogopa kuhusishwa na kifo Cha Simba ndio maana werevu wamekaa pembeni ili Simba wasipate sababu.
Rudia tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa ufupi sana

Toka enzi za Plateu na way back tumeshuhudia mashabiki na uongozi wa Yanga Utopolo ukishiriki kupokea wageni wapinzani wa Simba Sc.

Ajabu safari hii hatuwaoni Airport vepee. Mnataka kutushawishi kwamba mmestaarabika kiasi?
Asec walitoa onyo mapema kuwa hawana mashabiki tz na utopolo wakawa wanajipendekeza hotelini asec wakatweet tena kuwa hawana mwenyeji wao na hawahitaji, tembelea tweets za Asec kwenye page yao wako clear
 
We bata njoo uchukue uharo wako huku.
 
kabla siku haijaisha hivi Sasa ni saa 11:55 Pm u Hali Gani Mzee Utopolojist
Nikutakie usiku mwema maana nahisi umepata ganzi baada ya ushindi wa kishindo wa
Mnyamaaaaaaa!
😁😁😁😁😁πŸ”₯
 
Baadaye nini kilitokea?
 
U hali gani?!πŸ˜…πŸ˜…
 
Unateseka ukiwa wapi
 
Kwa ufupi sana

Toka enzi za Plateu na way back tumeshuhudia mashabiki na uongozi wa Yanga Utopolo ukishiriki kupokea wageni wapinzani wa Simba Sc.

Ajabu safari hii hatuwaoni Airport vepee. Mnataka kutushawishi kwamba mmestaarabika kiasi?
Waliogopa aibu siyo kama wamestaarabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…