kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Sawa tumekusikiaKwa simba hii kibogoyo! Unaenda kuwapokea wageni ili iweje? Maana uwezekano wa kufungwa nyumbani na ugenini ni 99%. Ndiyo maana hao mashabiki wameona wapotezee tu.
Yaani ushinde kwa penati za kupewa na marefa kwenye mechi dhidi ya timu ndogo kama Mbeya Kwanza, halafu utegemee kushinda dhidi ya timu kubwa na kongwe kama Asec Mimosa!
Simba mjipange kwa msimu ujao bhana.
Lakini unauongeleaje ushindi wa assec dhidi ya Simba leo.
Sent using Jamii Forums mobile app