Kutotambua Matokeo ni Kutomtambua Rais, Serikali na Bunge. Rais Akiishaapishwa ni Rais! Tutaendelea kuruhusu hali hii Mpaka Lini?


Mbona unalzimisha uongo. Umeambiwa Rais aliyechaguliwa awamu ya tano hayupo amefariki, Sasa ni awamu ya sita na Rais aliyepo hajachaguliwa kwa kura, swali langu Ni je Rais wa awamu ya sita ambaye amechaguliwa sio kwa wizi akitoa nafasi ya mazungumzo utakataa?.
 
Please, unafahamu state recognition?. Kuna nchi haziitambui Palestine. Je Marais wa hizo nchi Ni wapaleetine. Alichofanya Nyerere ni state recognition, kwamba hamtambui Rais wa nchi na dola nzima ya Uganda.
Usipende kudandia hoja usizozisoma ukazielewa Pascal amesema huwezi kuwa mwananchi ukakataa utawala wa nchi hiyo, ila kama si mwananchi wa nchi hiyo. Hivyo Nyerere hakuwa mwananchi wa Uganda kutoitambua serikali ya uganda wakati wa Amin.
 
Mzee unaturudisha nyuma sana.
 
Wewe kama mwandishi tunaomba pia uandike makala ndefu na ufanye utafiki kuwa.

Yuko wapi Ben saanane?

Yuko wapi azory?
Kigogo aliropoka kuwa Meko alimuua ben pale magogoni kwa mikono yake mwenyewe.

Na kwa nini aliripoti polisi kuwa anatishiwa kuuwawa lakini polisi wakapiga kimya same as Tundu lisu.

Fanya utafiti wa kiuandishi kwa sababu ndio taaluma yako.

Tunaomba pia utuambia kuwa ile miili iliyokuwa inaokotwa mtoni kipindi cha meko ni mauaji yalifanywa na nani?

Tuambie kuwa kwa nini mahakama zinakuogopa Makonda?


Haya yanatosha kwa leo.
 
Mjinga ni wewe usiojitambua na kutambua maana ya upinzani kisiasa
 
Ni kweli wanawake majasiri sana, mpaka wakaingia jela wakamtoa mwenzao ili waapishwe naye.
Hawakuiogopa serikali katili ya awamu ya tano. Kweli hawa siyo mchezo!!!
😂😂😂 Paschal eti mwandishi wa habari za kiuchunguzi!!! Halafu Mwanasheria.
Kwa hiyo umechunguza ukaona katiba ya Chadema mbovu,ila Nusrat alitokaje jela kwenda kuapishwa ni sawa!!
Haipendezi kuchagua kuwa mnafiki uzeeni, umeshindwa kumuiga hata Mzee Warioba mbona ni mzee kuliko wewe bado ana akili zake?
Jenerali Ulimwengu akiongea unavutiwa kumsikiliza, akiandika,kila mtu anatamani ajue alichoandika. Wewe mbona huvutii hivyo!! Umekumbwa na nini? Upande wangu nakushauri ungebakia kuwa mtangazaji wa sabasaba tu huko angalau.
Lakini kwenye uchambuzi wa kisiasa huwezi ndugu yangu,wewe ni mnafiki na huko kunataka waandishi design ya Doto, Tido na wengine baadhi lakini siyo wewe.
Mtu uliyeshuhudia katiba ikisiginwa awamu ya tano, mpaka ukajaribu kumuuliza Rais, na ulichojibiwa unakikumbuka,lakini pengine ulifuatwa baadaye ukatishwa tusikulaumu sana.
Ushauri wangu ni huo tu linda heshima ndogo iliyobaki kwa kuwa mkweli, mbona wenzio wameweza? Profesa Shivji ni Mwanasheria mkubwa tu, umewahi kumuona anapayupayuka ovyo?
Anajua kuna mambo hayaendi sawa, katiba inakanyagwa, japo siyo sahihi kunyamaza lakini ni bora zaidi kuwa hivyo, kuliko kujitoa ufahamu kutetea ujinga eti afurahishe watawala. Linda credibility yako iliyobaki huu ukuu wa wilaya ni kitu kidogo sana kuliko heshima yako.
 
“Hatuutambui Uchafuzi ulioitwa uchaguzi mkuu na matokeo yake”…

Wakati huo huo kila wiki Mbowe yupo ikulu anakenua, nye nyee nyeee..!!!!
Kumbe kuna mijitu mipumbavu humu.
Hujui mbowe anafuata nini ikulu, hujui uchafuzi wa sheitwani mwendazake 2020, hujui vifo na mateso kuanzia 2015_2021 march?

Nenda kwa mganga akuague
 
Huku kutolitambua Bunge la JMT huku unaliandikia mabarua, kwa barua moja hiyo hiyo kupelekwa Bungeni siku hiyo hiyo na watu watatu tofauti!, huku ni kutotambua gani?!.
Paskali ndugu yangu, wabunge wengi sana walipatikana kimagumashi! waliapishwa kimagumashi! Ni wabunge kimagumashi!
Halafu unatuambia tutambue umagumashi mkuu? Hii sio haki hata mbele ya Mungu kutambua ouvu! Ouvu unatakiwa kuangamizwa!
 
Nadhani ujinga huu utakwisha pale ambapo Serikali ya CCM na vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama itakapoheshimu maamuzi ya wapiga kura kwenye sanduku la Kura.
 
Hilo tulilipigia kelele muda mwingi ila kwakua chama hicho kinaendeshwa kwa mihemko je wangeitambua serikali uhalali wa kukimbilia ughaibuni kwa kivuli cha ukimbizi wa kisiasa bila vita wangeupata wapi?!
 
Kwani Raisi Samia , anaongoza serikali ambayo wabunge wake, na mawaziri wake walichaguliwa lini!!?
 
Kutotambua serkali ni UHAINI. Kikawaida, kilacnchi ina maadui wake njeg na ndani, active and passive. Yeyote aliye chini yav ulinzi wa serkali hiyo, huku haitambui, huou anadaidika na ulinzi na usalama wake ni sawa na kuwa upande wa adui. Ukiungana na maadui, chochote utakachokipata usiombe msaada serkali, waombw hawo maadui. Protection ni yako wewe na mali zako na taasisi unazoziongoza - wote ni wahaini. Kwa nini Msajili wa Vyama vya Siasa qsiwafutme usajili wao? Kama watachukia kufutwa,wakaungan na maadui kuwatetea, huo ndiyo uhaini wenyewe. Tupambane!
 
Akili yako kiazi kweli kwa iyo waliomchagua J.P.M si ndo wamefanya kuwepo kwa serikali hii unaakilu fupi kama mkia wa pimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…