Wewe inaonekana huelewi unachosema, ifutie uraia wananchi halali wa Tanzania ili waende nchi gani??? Ndiyo maana naona una shida kubwa kwenye ufikiri wako. Wakati mwingine kuna haja ya kuwa na ufikiri ulio sahihi....acheni ushabiki wa kisukuma
Sijaona hayo Mkuu, tuwekee ushaidi hapaWanapenda haki kina nani? Hawa Wapinzani wanaotukana Nchi yetu?
Hao ni wasaliti
Yafaa wakakae jela
Nani mwenye haki ya kupokonya uraia Wa MTU mwingine?Hata huko kwa Mabeberu mnaowashabikia wasaliti wa nchi hupokonywa uraia au kufungwa jela
Nani mwenye haki ya kupokonya uraia Wa MTU mwingine?
Na aliyeihujumu nchi Lugola ni mwanachama wa chama gani? Waliopiga 1.5 trillion kwenye ripoti ya CAG ni kina nani? Afu Leo hii unaandika bank ya dunia imenyima mkopo? Pimbi kweli si mnajidai kila mradi tunaendesha kwa pesa zetu kama hao ni mabeberu unalialia nini xaxa kwao kisa wamekunyima mkopo?Kuihujumu nchi kwa nyanja za kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo na kijamii
Kuna wengine walisafiri hadi Marikani kuomba benki ya dunia inyime pesa Tanzania
😲😂😂😂😣😃 mbona sielewi hapa. Au ni visa vya mod.Hapo ukweli mtupu umeongea Serkali iache kucheka na wanasiasa wasaliti wa nchi
Yani mpaka 2020 bado majinga kama haya yapo?
Naona unahitaji kueleweshwa...Wanaonyang'anywa uraia ni wale waliopata uraia wa kupewa (Naturalization) siyo wa kuzaliwa. Ukimtoa mtu Tanzania ambaye hana uraia wowote ule...UTAMPELEKA WAPI? Ndiyo maana naona kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako.Hata huko kwa Mabeberu mnaowashabikia wasaliti wa nchi hupokonywa uraia au kufungwa jela
Huko sahihi kabisa mkuu. Mleta mada anaonekana hayuko sawa kichwani ana vinasaba vya utaira.Naona unahitaji kueleweshwa...Wanaonyang'anywa uraia ni wale waliopata uraia wa kupewa (Naturalization) siyo wa kuzaliwa. Ukimtoa mtu Tanzania ambaye hana uraia wowote ule...UTAMPELEKA WAPI? Ndiyo maana naona kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako.
Unajijibu mwenyewe? DuhHapo ukweli mtupu umeongea Serkali iache kucheka na wanasiasa wasaliti wa nchi
Hapo ukweli mtupu umeongea Serkali iache kucheka na wanasiasa wasaliti wa nchi