Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

Sikubaliani na hii ya nipe muda nikuzoee. Hii ni dalili ya kuwa hujampenda so unamweka kwenye friend zone . Wanawake huwa siku ya kwanza wanafahamu je huyu kijana ananifaa au hanifai.

We kama humtaki kataa hapohapo na wanaume ukiona demu anakupiga chenga piga chini. Usipoteze muda.

Ni heri umwambie kuwa unampenda ila mkapanga lini mkutane mkiwa free wote mfurahie penzi lenu kuliko hii ya nipe muda.
 
Umeende alafu....
 
Kukuzoea ndo kutanipa ujasiri wa kukuvulia na pia nitaenjoy. Si kwa haraka hiyo
 
Sasa mkuu ulidhani unafunga safari kwenda kwake mpige story yani ina maana ni mbali kama ilibdii ulale lodge ulipofukuzwa.
This is Afrika acheni kuwaza kama mnavyoona kwenye movie za kikorea. Afrika ukija geto tafsiri ni kwamba umekubaliana na matokeo.
 
Kukuzoea ndo kutanipa ujasiri wa kukuvulia na pia nitaenjoy. Si kwa haraka hiyo
Ila tumia maneno mengine siyo nipe muda nikuzoee. Wanaume wengi ambao ni serious, na ni alpha male na mwenye uwezo mkubwa wa kiakili hawezi kukubali kupewa muda, kwenye akili yake hiyo ni tafsiri ya wewe kusema hapana.

Watatafuta chombo kingine, hawataki kuchezewa akili na wanawake ambao wanataka attention kutoka kwao alafu hawataki kuirudisha. Isitoshe unaweza muomba mkutane next time mjuane zaidi. Mi nakuambia hivyo maana asilimia 98% ya wanawake hutamani kuwa na beta male( submissive male) baada ya kupigwa matukio na wakishampata , huwachukia kwasababu sio alpha male.

Mi nakuambia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…