Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jun 6, 2026 #1 Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa. Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa. Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 53,537 Reaction score 133,017 Jun 6, 2026 #2 Utasikia "Quran imemaliza kila kitu". Haya tutajie basi aya iliyotaja ChatGpt "Hakuna jipya chini ya jua" ni wapi kwenye Biblia wamesema Mussa alitumia drones kuyaangamiza majeshi ya Farao?
Utasikia "Quran imemaliza kila kitu". Haya tutajie basi aya iliyotaja ChatGpt "Hakuna jipya chini ya jua" ni wapi kwenye Biblia wamesema Mussa alitumia drones kuyaangamiza majeshi ya Farao?
pm matutu JF-Expert Member Joined May 15, 2026 Posts 246 Reaction score 614 Jun 6, 2026 #3 Inafikilisha
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jun 7, 2026 Thread starter #4 Scars said: Utasikia "Quran imemaliza kila kitu". Haya tutajie basi aya iliyotaja ChatGpt "Hakuna jipya chini ya jua" ni wapi kwenye Biblia wamesema Mussa alitumia drones kuyaangamiza majeshi ya Farao? Click to expand... Yani watu wa aina huwa ni vibuyu haswa.
Scars said: Utasikia "Quran imemaliza kila kitu". Haya tutajie basi aya iliyotaja ChatGpt "Hakuna jipya chini ya jua" ni wapi kwenye Biblia wamesema Mussa alitumia drones kuyaangamiza majeshi ya Farao? Click to expand... Yani watu wa aina huwa ni vibuyu haswa.
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Jun 7, 2026 #5 Yoda said: Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa. Click to expand... Akili yako ni ndogo weka mzani tukupime labda tujue akili yako ina uzito kiasi gani jiwe hujalitupa gizani Mimi naweka mistari kwa kushabihihana na kile kilichoandikwa kwenye mada unataka kusemaje?
Yoda said: Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa. Click to expand... Akili yako ni ndogo weka mzani tukupime labda tujue akili yako ina uzito kiasi gani jiwe hujalitupa gizani Mimi naweka mistari kwa kushabihihana na kile kilichoandikwa kwenye mada unataka kusemaje?