Kutumia dini kama kichaka cha kukwepa wajibu hakutotusaidia

Kabisa la mashetani hill la Korea sio la mungu
 
Kwenye makanisa wamejaa wajinga wengi sn, ndiyo maana ukiangalia hao mitume ni matajiri wa kupindukia lakini waumini wao ni mafukara haswa. 2020 kuna uchaguzi hivyo kuna kura nyingi sana makanisani.
Hata katoliki ni.matajiri padri ana gari waumini hawana vijijini nenda padri anaishi nyumba nzuri ya uhakika waumini choka mbaya wanaishi nyumba mbaya
 
Hata katoliki ni.matajiri padri ana gari waumini hawana vijijini nenda padri anaishi nyumba nzuri ya uhakika waumini choka mbaya wanaishi nyumba mbaya
Hakuna Padri au Askofu tajiri wa kupindukia kama akina mzee wa upako siju Gwajima
 
Aisee mnapata taabu Sana.....come October JPM atashinda kwa zaidi ya asilimia 95 ...Chadema haitapata zaidi ya viti vitano...

JPM atashinda kwa zaidi ya 95%, au atatangazwa kwa zaidi ya 95%? Tofautisha kushinda na kutangazwa. Kwa tume hii inayopokea maagizo ya Magufuli, hao cdm wakipata hata hivyo viti vitano itakuwa maajabu ya dunia. Ingekuwa chini ya Magufuli kuna uchaguzi, hapo ungekuwa na hoja ya kutambia.
 
inabidi uwe specific kuchanganya siasa na dini ni kufanya nini na nini.rais kuingia kanisani na kuhutubia ni kuchanganya siasa na dini!!!!

Kanisani ni sehemu ya ibada, sio sehemu ya kiongozi wa kisiasa kupotoshea umma kwa data za kupika. Hayo ni matumizi mabaya ya madaraka fullstop.
 
Hahaha kwa kuandika hivyo angalau unapunguza machungu ya mfadhaiko...ila hata Mbowe akiteuliwa kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na akina Mnyika wakawa wajumbe au wakurugenzi wa tume JPM atashinda.kwa zaidi ya asilimia 95...mark my words....
 
Story za dini zinavutia Waafrika wengi zaidi wenye matatizo kuliko sayansi.
 
Kanisani ni sehemu ya ibada, sio sehemu ya kiongozi wa kisiasa kupotoshea umma kwa data za kupika. Hayo ni matumizi mabaya ya madaraka fullstop.
kwakweli awamu hii mtachoka sana.

maana kila kitu mnahangaika nacho.
 
Hahaha kwa kuandika hivyo angalau unapunguza machungu ya mfadhaiko...ila hata Mbowe akiteuliwa kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na akina Mnyika wakawa wajumbe au wakurugenzi wa tume JPM atashinda.kwa zaidi ya asilimia 95...mark my words....

Watanzania waliolala hivyo hawapo, ukiona tume huru ya uchaguzi haitakiwi ujue sio kwa bahati mbaya. Unapoona mabox ya kura yakitolewa vituoni kwenda kujazwa kura za ccm, ujue uwezo wa kushindana na kushinda kihalali haupo. Hizi chaguzi za nchi kunajisiwa sio kwa bahati mbaya, bali uwezo wa kushinda tena kwa box la kura haupo.
 
Daa kuna mengine unasoma halafu unashindwa hata kuandika
Na haya yatapita


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
inabidi uwe specific kuchanganya siasa na dini ni kufanya nini na nini.rais kuingia kanisani na kuhutubia ni kuchanganya siasa na dini!!!!
Kuingia kanisani na kuongea siasa au kuingia jukwaani na kuongea dini
 
Church of Christ tangu lini likawa kanisa la shetani. Acha dhihaka
kanisa la Church of Christ na kanisa la church of Jesus hilo la korea ni makanisa mawili tofauti hilo la church of Jesus ni la kishetani na ni secret society church

church of christ ni la kristo hilo la church of jesus ni la kishetrani
 
Hakuna Padri au Askofu tajiri wa kupindukia kama akina mzee wa upako siju Gwajima
Huyo hapo nakupa mmojawapo alivyonavyo mzee wa Upako na Gwajima hawana

Nigeria’s Richest Catholic Priest




Father Ede

REVEREND Father Professor Emmanuel Matthew Paul Edeh, MSSP was ordained a catholic priest on the 19th April, 1976. Bushy haired and well built, the dark-skinned popular priest is widely known as ‘Father Edeh’ because of his Catholic Prayer Ministry and the Pilgrimage Centre for Eucharistic Adoration and Special Marian Devotion which he sited in Elele, Rivers State. A native of Akpugo in Enugu State.
Unarguably a billionaire, Father Edeh has interests in education, health, publishing, merchandising, real estate, agriculture, hospitality, banking, to mention but few.

He’s the founder of Madonna University (in Okija, Ihiala, Anambra State), Caritas University (in Emene, Enugu State), OSISATECH Polytechnic (also in Enugu), Our Saviour College of Education, Our Saviour Primary and Secondary Schools; his investment in the educational sector is massive and monumental. Also, Father Ede is the brain behind Our Saviour Diagnostic Centres and Madonna Hospitals, the Fathers, Sisters and Brothers of Jesus The Saviour Congregations were also set up by him. Likewise Mayfresh Mortage Bank. Richly endowed with trading skills and acumen, Triumph Water, Triumph Beverages, Triumph range of cosmetics, etc also belong to him.

He is equally into the production of sacramentals, there are very, very few priests that can compete with him in terms of industry and resourcefulness, both here and abroad.
Overflowing with anointing, thousands throng his pilgrimage centre monthly for blessings, freedom and prayers. Naturally self-effacing, it’s his good works that have been giving him away.

Born in 1947, his healing ministry commenced in 1985, soon after his ordination, in Elele, a rural community in Rivers State. But soon grew to become one of the top Catholic pilgrimage centres in the world. Educated at Holy Angels Catholic Primary School, Akpugo, Enugu; Holy Ghost Juniorate, Ihiala, Anambra; Holy Ghost Scholarsticate, Awo Omama, Imo; Bigard Memorial Seminary, Enugu; Urban University, Rome, Italy; De Paul University, Chicago, USA and Loyola University Medical Centrecum Mary Ann Jay Hospital, Illinois, USA, the professor’s deeds of charity and volume of humility resonate far and wide. – Opera news.com
– Jan. 21, 2020 @ 12:45 GMT |

SOURCE:Nigeria’s Richest Catholic Priest – Realnews Magazine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…