kwani uliitaja science ipi wakati unalaumu watu kukumbatia dini zaidi??kuliko science??
Kama kipindi Iddi Amini Raisi angekuwa ni huyu wala asingehangaika sana
Angewaita Maaskofu na Mashehe na kuwaambia waliombee Taifa kwa siku tatu mfululizo
Kwakweli Iddi Amini angecheka sana
Eti Tume huru...weka humu majina ya wajumbe wa tume unayoita huru...weka hapa majina ya wajumbe unaowataka...Watanzania waliolala hivyo hawapo, ukiona tume huru ya uchaguzi haitakiwi ujue sio kwa bahati mbaya. Unapoona mabox ya kura yakitolewa vituoni kwenda kujazwa kura za ccm, ujue uwezo wa kushindana na kushinda kihalali haupo. Hizi chaguzi za nchi kunajisiwa sio kwa bahati mbaya, bali uwezo wa kushinda tena kwa box la kura haupo.
Aisee mnapata taabu Sana.....come October JPM atashinda kwa zaidi ya asilimia 95 ...Chadema haitapata zaidi ya viti vitano...
Eti Tume huru...weka humu majina ya wajumbe wa tume unayoita huru...weka hapa majina ya wajumbe unaowataka...
Tanzania naona sasa tunarudi kwenye enzi za mawe, kudharau Sayansi na kujikita kwenye kutatua matatizo yetu kwa njia walizotumia mababu zetu katika karne ya 15, 16, 17 na 18 - is this the right way of doing things?
Tujiulize kwa umoja wetu, maana kupanga ni kuchagua.
Of course wewe ni mmoja wao...you have proved me right in my thinking..tuwekee hapa majina mengine ...Mimi ni mmojawapo, na suala sio mimi tu, bali ni kutokuingiliwa na mamlaka yoyote.
Of course wewe n
Of course wewe ni mmoja wao...you have proved me right in my thinking..tuwekee hapa majina mengine ...
Hahahaha thanks ...viti vitano vinatoka wap wakati kigogo jimbon kwake washamchoka
hadi wazee wamemchoka, kazi yake ni kuvaa gloves nyeusi tu
wewe fikiria mpaka mtu akipewa sifa zake wananuna eti ni nyingi sana as if tunatakiwa kua na limit
..kwanza, hutumia nyumba za ibada, ili aonekane mcha mungu.
..pili, kugawa mabulungutu ya pesa, ili aonekane mkarimu.
Ok sawa Ndugu...wewe ni mwadilifu...Wako waadilifu wengi sana, hapa kwenye hili jukwaa hapatatosha.
kwan shida iko wap sasa apo: hata wewe unaweza toa mabulungutu ukasaidia kitu kimoja wapi kanisa, and ofcourse yes unaweza kuongea kupitia nyumba ya ibada, na sio kuongea tu uunaruhusiwa hata kuhubiri hata kama haujasomea! kuna watu bana khaa
..anaacha kuzungumza tokea IKULU anakwenda kuzungumzia Kanisani?
..Na kwanini anajificha wakati anadai nchi iko ktk vita? Amiri jeshi mkuu wa aina gani huyu?
Ok sawa Ndugu...wewe ni mwadilifu...
hilo kanisa liko uganda ama? si liko tanzania:
Sawa Ndugu yangu mpendwa...inawezekana ukapigiwa ndogo ndogo ili uwemo kwenye tume ya uchaguzi...just be patient...tehtehtehNashukuru kwa kupigia jibu mstari.
hilo kanisa liko uganda ama? si liko tanzania: