Kutumia dini kama kichaka cha kukwepa wajibu hakutotusaidia

..kwamba kuna-booking za watalii kuja Tanzania.

..ule ni uongo wa wazi kabisa.

tupe ushahidi wako kama ni uongo! huna evidence tuliza mdomo huo maaana nyie wazee wa ruzuku hamueleweki, mwanachama wenu leo alikua analia bungeni anataman sana kuhamia ccm
 
Unapimaje kuwa ni mkumbo mzuri?

mbna easy: kwa sababu mkumbo uliobaki ambao ni wa kigogo hua wanaongeaga vitu havieleweki alafu mnakuja kuaibika wenyewe, umemuona mbunge wenu alikua analia leo bungeni hana ham na huo mkumbo wenu?/
usiseme hujaona taarifa hii apa

na sisi tunamkaribisha kwenye mkumbo mzuri
 
tupe ushahidi wako kama ni uongo! huna evidence tuliza mdomo huo maaana nyie wazee wa ruzuku hamueleweki, mwanachama wenu leo alikua analia bungeni anataman sana kuhamia ccm

..wewe lete ushahidi wa hizo booking.

..watu wamevungiwa kwenye nchi zao, wanakufa kama kuku mdondo, pesa hawana kwa kukosa kazi, unategemea watafanya booking za kuja Afrika?
 
Duh, halafu unalipwa kwa uandishi huu, kodi yangu inateketea hivi hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani za Gwajima zimandikwa kwa jina lake alishajibu hill.mbona ni Mali za kanisa hata ndege anayomiliki imeandikwa kanisa la ufufuo na uzima mtume na nabii Mwingira ndege take anayotumia imeandikwa jina la kanisa Efatha
Kanisa ni lake binafsi na mali ni zake binafsi, ila jina la kampuni ni Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini watu wa Saccos ni watu wa Mungu kama wakivyo wafadhili wake kama wale majambawasi ambao ni walokole n.k
Na sasa hivi tu nasubiri ushindi wa Saccos, ili majambawasi warudi kazini
 
Lakini watu wa Saccos ni watu wa Mungu kama wakivyo wafadhili wake kama wale majambawasi ambao ni walokole n.k
Na sasa hivi tu nasubiri ushindi wa Saccos, ili majambawasi warudi kazini

Kwa heshima uliyonayo kwenye hili jukwaa toka enzi hizo za Jamboforums, you are better than this
 
Duh, halafu unalipwa kwa uandishi huu, kodi yangu inateketea hivi hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nimesoma mwenyekiti wangu magufuli ana phd katibu mkuu wa CCM ANA PHD SIONGOZWI NA WAJINGA WA CHADEMA ambao mwenyekiti wa chadema ni form six division zero mbowe na katibu mkuu wa chadema ni form four mnyika
 
Ni kweli mkuu tafuta tuu, Kati ya hotuba zake mwl. Alishawahi Hadi kuhoji uwepo wa mungu, akisema maana haonekani, hanusiki Wala hasikiki
mleta mada aweke si ndio alisema nyerere alisema? hiyo homework sifanyi yeye ndio aweke aliyeleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…