Kutumika Mbwa kwenye uokoaji Syria na Uturuki

25:5
Na wakasema hivi ni visa vya watu wa kale alivyoviandikisha anavyosomewa asubuhi na
25:6
Sema,anayeteremsha haya ni ajuaye Siri za katika mbingu na ardhi,hakika yeye ni mwenye kusamehe,kurehemu
Sasa haya maneno ya mwanzo ulitoa wapi kama sio uzushi?haya chini
 
Una hamu ya kutumia Aya au..nimesema nadhani sababu sikua na uhakika ni namba gani ya sura na aya
Kwenye Qu'ran tunapata wapi kuwa tunatakiwa tusome Surat_Fatha kwenye swala au unaswali kibubu ?
 
Kwenye Qu'ran tunapata wapi kuwa tunatakiwa tusome Surat_Fatha kwenye swala au unaswali kibubu ?
Achana nae uyo Akhi dishi limeyumba umo

Hawa ndo wale


( وَسَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ )

يس (10) Yaseen

Ni sawa sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawataamini.
 
Mkiwa mnaulizwa msikimbilie ahaya.ukiulizwa injini ya V8 utaweka ahaya.

Ujibu kama wewe inaonyesha unajibu
 
Mkiwa mnaulizwa msikimbilie ahaya.ukiulizwa injini ya V8 utaweka ahaya.

Ujibu kama wewe inaonyesha unajibu
Ahaya ndo kitu kwanza?

Halafu usinifafnishe kiimani mm na ww kma ww hutumii imani yko vizuri basi nyamaza mna kuongea kitu bila ya ushahidi si vizuri
 
Ahaya ndo kitu kwanza?

Halafu usinifafnishe kiimani mm na ww kma ww hutumii imani yko vizuri basi nyamaza mna kuongea kitu bila ya ushahidi si vizuri
Kama.hivi lugha za watu "وَسَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ "
 
Nawapenda mbwa na mbwa ni rafiki wa binadamu wa Kweli...

Huko home pana mbwa aligongwa na boda boda akawa yupo mtaroni toka asubuhi mpaka jioni kwa jinsi alivyokua analalamika na alikua anaonekana mkali mimi nikawaita watoto tukambeba kwenye mfuko salfet ile ya mchele nikamwacha home pembeni nikapanda bar kwenda kununua chakula ikawa kila jioni napita bar za mjini ili waniwekee mafuta na kurudi nayo nilifikiri kuwaita watu wa mifugo wamtibu ila kila siku zinavyozidi kwenda akawa anapona tuu baadae akaja kuamka ila hawezi kukimbia swala la chakula likawa ndio kazi kila jioni...baadae nikaenda kutoa taarifa kwa mtendaji atangaze maana mbwa mwenyewe ni bonge la mbwa Mzuri na ana afya ikaenda wiki ya pili mwenye mbwa akapatikana kupitia watu wa boda boda nao waliona ile scenario uzuri jioni akaja home wakataka kumchukua akagoma kwenda...mimi nikamwita usiku nikampeleka kwao ishakua kazi sasa anachofanya anaenda kula tu huko asubuhi na jioni naporudi namkuta ndani maana pana fensi tuu ya uzio mbwa anaweza kupita hii nipo SA naambiwa huyo mbwa bado anakuja home kila usiku hafati chakula ni kuzunguka zunguka tuu na kuondoka...yule Mzazi alishukuru sana kwa kweli na anampenda kweli mbwa wake...niliwahi kufuga mbwa mara kadhaa mwingine huyu niligawa kisa alikua mkali kupita kiasi na ananijua mimi tuu na Wife nikaona isiwe tabu wale wazee wa mbwa nikawaita wakatoa mpunga kidogo wakamchukua natamani kuanza kufuga tena...mbwa mambo mengi ya Nje ya nyumba anakupa taarifa kabla hata hilo tukio litokee mbali ana mlio kama mfugaji utaelewa tuu...
 
Akhi,jifunze uungwana,na Kama wataka kuwa daiah jifunze uvimilivu,Sina hakika na umri wako lakini Kama umefika 30 basi utakua na ukosefu wa busara,mtume saw akiishi na wakiristo na mayahudi na makufari,akila chakula Chao halali hao ahlul kitaab,akishindana nao kwa hoja na si dhihaka na matusi..Bali wao ndiyo waliokua wakikerwa na kushinda hoja zake,jifunze kuwavumilia watu walio mrengo tofauti na wako
Pitia pitia Qur'an 6:114
 

Unajisi wa umbwa ukoje tena??hizi dini ni ujinga mtupu.
 
Quran imetaja mambo yote yanayohitajika na mwanadamu kwaajili ya malengo yake ya dunia na akherah, hata swala imetajwa katika quran ila ufafanuzi wake ameutoa mtume swala na salaam ziwe juu yake kwasababu ndio kazi yake kutubainisha na kutuwekea wazi zaidi quran.

Na maneno yake ni sehemu katika wahy{ufunuo}.
 
N Nimeishi na mbwa miaka zaidi ya 10 na walikuwa wananirukia wananilamba lamba sijawahi vunjika hada kidole cha mguu. Paka ndio usiseme hizi sheria zingine muwe mna update tusitiane tabu tu.
 

Kwahiyo mungu wa waarabu anahukumu hadi mbwa wenye mafunzo na mbwa koko,duuh dini ya kubumba hii.,kwahiyo hao mbwa wenyw mafunzo sio halamu na wao watapewa bikra 70. ??
 
Kwahiyo mungu wa waarabu anahukumu hadi mbwa wenye mafunzo na mbwa koko,duuh dini ya kubumba hii.,kwahiyo hao mbwa wenyw mafunzo sio halamu na wao watapewa bikra 70. ??
Huo ndo uislamu haukuacha kitu kwenye mambo yote mwanadamu anayoyahitajia, usishangae mbwa bali tumefundishwa mpaka namna ya kukidhi haja na kujisafisha.

Dini nzuri na kamilifu iliyoje.
 

Unajua maana ya boko haramu wewe,?
 

Mbwa kuokoa na kuwinda anakua halali ila kumshika na kukugusa anakuwa ni haramu,abusrd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…