Kutumika Mbwa kwenye uokoaji Syria na Uturuki

Kutumika Mbwa kwenye uokoaji Syria na Uturuki

Katika uislami mbwa anaweza kutumika Kwa ajili ya ulinzi, kulinda au kufanya uokozi kama unavyofanyika huko uturuki na Syria.

Uharamu ni kumla au kuishi nae kama mtu (ile kula nae ndani kama mtoto au mdori)
Acheni kuhalalisha na kuharamisha vile ambavyo Allah sw hakuhalalisha Wala kuharamisha,Qur'an 5:4 Haina shida na mbwa
 
Katika uislami mbwa anaweza kutumika Kwa ajili ya ulinzi, kulinda au kufanya uokozi kama unavyofanyika huko uturuki na Syria.

Uharamu ni kumla au kuishi nae kama mtu (ile kula, kulala nae na kukaa nae ndani kama mtoto au mdori)
Glenn
 
sheikh wangu mbwa Hana unajisi wowote,si mate Wala maji ya pua,ndiyo maana wwngine hadithi hatuzitaki,zinazua mengi.

QUR'AN 5:4

Wanakuuliza wamehalalishiwa nini?..sema mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri na 'mlichowafundisha WANYAMA kuwinda....'
Tafsir yake hapo ni kwamba kile kinachowindwa na mnyama ambae kagundishwa ndio halali na sio mnyama aliyewinda.
 
Mbwa bado anaonekana ni kiumbe chenye msaada sana kwa binadamu. Kwa sasa Mbwa anatumia sana kwenye nchi ambazo zimepata majanga ya tetemeko Hivi karibuni yaani Syria na Uturuki.

Najiuliza nchi hizi ni za kiislamu vipi kuruhusu Mbwa atumike wakati kwa uislamu Mbwa ni najisi. Nauliza tu kupata uelewa siyo vita.
Ivi mbwa ni najisi? 🤔
 
Tafsir yake hapo ni kwamba kile kinachowindwa na mnyama ambae kagundishwa ndio halali na sio mnyama aliyewinda.
huyo mnyama anayefundishika kuwinda unayemjua ni yupi!?..mbuzi,ng'ombe au kondoo!?
 
Naomba unifafanulie jinsi jua linavyoenda kusujudu kwa Mungu.
Hiyo ni katika mambo ya ghaybu na hakuna anayejua uhalisia wake zaidi ya allah mwenyewe, lakini tunaamini jua linakwenda kusujudu chini ya arshi yake kwa jinsi anavyotaka yeye allah subhaanah.

So mkuu kwenye uislamu si kila kitu tunajua uhalisia wake mengine yametuzidi uwezo kwasababu ni mambo ya ghayb.
 
Mkuu zingatia mada, sijakueleza kuhusu kuandika ninachokizungumzia ni LETA USHAHIDI KUWA QUR'AN ILIKUSANYWA KUWA MSAHAFU MMOJA WAKATI MTUME AKIWA HAI ama habari za kuandikwa mimi sijajadiliana na wewe kuhusu hilo.

Na swala kwa mujibu wa quran mbona unakwepa?.
Una kichwa kigumu!!..huzingatii maelezo ya mtu neno kwa neno
 
Nimeweka mabano ili kumuelewesha
Huoni kama unazua je mtu mwingine akiweka mabano akimaanisha ni mfalme wa Roma au babu yake utampinga na yeye akisema ili awaeleshe watu ?
 
Kuhusisha wazazi katika mambo binafsi haipo Sawa hata kidogo ndio maana nikasema bado una safari sana kijana.
Kwa nini wasihusike!?..Ila kumtusi mtu ipo sawa walau kidogo!?..iliposemwa fikisha ujumbe kwa hikma palikua na maana yake,siyo unaleta jazba na kutusi watu kana kwamba haiwezekani wewe kukuudhi kwa maneno ya kifedhuli...ajifunze mijadala,ni kweli nilianza darasa la kwanza 1972,Kama mama yake alikua kapevuka tayari kipindi hicho aniwie radhi,Ila mwambie aniombe radhi pia
 
Huyu jamaa sielewi ni dini gani naona nyota tu hapa.
Maelezo yake hayayooki kama wapinga hadithi wengine wakina Faiza unaweza kujadiliana hoja kwa hoja sababu wanzingatia kile wanachoandika na kujibu mjadala vile inavyotakiwa ,nilichogundua uwezo wake wa kung'amua vitu ni mdogo sana haswa baada ya kuweka aya fulani hapo juu ambayo haina mahusiano hata kidogo na kile anachodai hata kea kuisoma tu..
 
Back
Top Bottom