Matusi na dharau umeacha!!?..fanya mjadala na wengine sheikhNimekuita kwenye mjadala unaniletea hoja ya vinamba namba, swala kwa mujibu wa quran iko wapi!?.
Umar amepinga hadithi za mtume? kuandikwa miaka 150 baada ya kufa kwa mtume kuna ubaya gani ikiwa wakati wake na wakati wa maswahaba hakukuwa na haja ya kufanya hivyo? kabla hujakimbilia kwenye hadithi kwanini haushangai quran kukusanywa baada ya kufa kwa mtume kwa miaka kadhaa?.