Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

siku sita tu ilitosha kuwasambaratisha arab coalition na urusi wenu wa buza
Una zungumzia vita gani maana Israel alipigana vita nyingi, hiyo mwaka 1967 Misri hakuwa na Ant Aircraft system wala Ant tank missile , ndio maana Israel alitumia ndege tu kupiga majeshi ya waarabu, ila mwaka 1973 baada ya Urusi kuwapa Misri Ant aircraft system na ant tank missile(SAGA), waulize wayahudi walichokutana nacho
 
kafuatilie vizur yom kippur war misri alichaipika sana pamoja mrusi wako wa buza maan unajichanganya tu hapa
 
kafuatilie vizuri 6 day war ( yom kippur war) nimemaliza
6 day war ile vita ni mwaka 1967 ile ni six day war sio yom kippur war ebu kasome tena, ile ya mwaka 1973 ndio yom kippur war ambapo vita ilipiganwa zaidi ya week 2 mpaka 3 , ambapo huku Egypty wanaita ramadan war kule Israel yom kippur war , jifunze tena
1. 1967 ni six day war
2.1973 ni yom kippur war( Israel)or ramadan war( Egypty)
 
hizo zote arab coalition ilishinda?
 
Nakumbuka USA aliivamia Somalia na majeshi yake pamoja na vifaa na ndege za kivita kupambana na alshababu,mmmmh kilichomkuta uko kilimfanya USA kukimbia mpaka leo, na mwisho wa siku anamtumia Kenya km kibaraka wake kuwapiga somalia( Alshabab). Vita siyo kuwa na jeshi kubwa na silaa nyingi za kisasa.....! Vita ni mkakati mnyenyekevu na wa hali ya juu.
 
hizo zote arab coalition ilishinda?
1. 1967 Israel alifanikiwa kuchukua Golan height (syria) na jangwa la Sinai kule Misri
2. 1973 Misri akapata silaha za kisasa kutoka soviet (ant aircraft system na ant tank )ambapo alipiga ndege na vifaru vya Israel vingi na kuteka mateka askari wengi wa kiisrael , hakuna jinsi kwenye negotiation table Israel akarudisha Sinai kwa Misri, yule Syria alikuwa mnyonge mpaka leo Golan height imebaki Israel
 
Kama Taliban wangepewa Ant Aircraft system kama Ukraine unafikiri ndege za US zingeruka hewani zinavyotaka? Acha masikhara Ukraine amepewa msaada wa kiwango cha juu kabisaa

Soldiers win battles logistics win the war.

unaweza kuwa na hiyo ant aircraft ila huna askari wenye weredi.
kumbuka jeshi la Ukraine limesukwa hivi karibuni baada ya kuona kila putin akiota ndoto ya kuirudisha imaya ya Soviet anaenda Ukraine ana mega ardhi then atakaa baada ya muda ndoto ikijirudia anarudi tena chukua kipande kingine. aendi Poland ama kwingineko, yeye ni Ukraine tu kwasababu anajua Ukraine ni defenseless country.
Jeshi la Ukraine bado changa ndiyo maana nchi zinajitolea kuwapa ndege za Urusi ambazo wanauzoefu nazo.

na zaidi uking'ang'ania madai ya kuwa msaada ndiyo unawabeba Ukraine automatically unakuwa unakubali kwamba west inguvu kushinda Urusi. ikiwa msaada wake tu kwa Ukraine unaiyumbisha urusi vipi wao wakiingia kupigana full war na Urusi, Urusi itabaki kweli?.

yaan kwenye kipindi iki cha misaada Urusi ili paswa kutoa somo kuwa Nato kuwa yenyewe ni dedili zaidi ya misaada yao ( in dj afro voice) 😊😊
 
America ilichukua muda gani Vietnam ?

Vita vinavyojumuisha Civilians ni vigumu and with all things considered no one wins a War...
 
Kaka unazingua weledi bila vifaa ni uongo mtupu, mwenzako yuko hewani anapiga tu wakati wewe huwezi kumfikia hapa lazima uumie, ndio maana Ant aircraft system ni LAZIMA sio ombi, kama angepewa Taliban hii vita ya ardhin US angekimbia mapema tu kwa wale wataliban
 
Russia ni matapeli mno
Huyu hapa Zelensky leo hii:
t’s a compromise for everyone: for the West, which doesn’t know what to do with us with regard to NATO, for Ukraine, which wants security guarantees, and for Russia, which doesn’t want further NATO expansion,” Zelenskyy said late on Monday in an interview with Ukrainian television channels
 
Kufa kawaida vitani msikilize comedian amechoka huyu hapa:
t’s a compromise for everyone: for the West, which doesn’t know what to do with us with regard to NATO, for Ukraine, which wants security guarantees, and for Russia, which doesn’t want further NATO expansion,” Zelenskyy said late on Monday in an interview with Ukrainian television channels
 
Nonsense!...kawadanganye wanao huo utoto
 
Sababu ingine ni kuwa baada ya ukomunisti Urusi kuanguka na kuingia ubepari rushwa na upendeleo uliingia Serikali ya Russia ajira zikawa za upendeleo na Rushwa.Wengi walioajiriwa jeshini ni watoto wa makada wa chama tawala na viongozi wa zamani wa Majeshi ya Urusi na watoto wa viongozi waandamizi wa Serikali,bunge mahakama na ndugu zao.Wengine waliopenya ajira ni kupitia rushwa

Matokeo wakapata wanajeshi wengi wasio na sifa za kuajiriwa jeshini ili mradi wawe na ajira.Ajira wakapata mafunzo hata wakiwa hawawezi wanaachwa tu sababu ni watoto wa vigogo. Sasa vita ikifika magenerali wazee wapiganaji wa zamani ndio wanaongoza vita wako vizuri lakini kundi la Askari wapiganaji hawako fit hata wanaomlinda Generali hivyo kukuta jenerali kauawa inakuwa rahisi.Na ukiona Generali kauawa ujue maelfu ya Askari walio chini yake wameuawa .Hata taarifa zifichwe kuwa ni generali tu kauawa ni uongo ujue wamechakazwa hasa sio utani wanamtaja generali mmoja kafa lakini kilio kilichopelekwa kwa Putin kikubwa

Urusi baada ya hii vita kama itatoka salama itabidi waangalie mfumo wao wa ajira.Je unaingiza Askari kweli walio fit kivita au unaingiza tu wasaka ajira kuwa niwekee kanafasi kwa ajiri ya mwanangu mimi kigogo mwenzio au nina pesa hapa shika niingizie mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…